Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Yah unless nihame mtandao nlijutaAiseee anakwambia hata ubadili line?
Binadamu wanafika mbali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yah unless nihame mtandao nlijutaAiseee anakwambia hata ubadili line?
Binadamu wanafika mbali
Nilikuomba uwe mchepuko wangu wa kudumuSisi mtuachage tu ila wewe unanichokoza haya niache Jana ulisemaje??
Nenda mahakamani idai hiyo kampuni milioni 500 usichezee hiyo firsaIpo mzee baba
Kafungue kesi aliyempatia print out atajulikana tuuWakuu!
Wiki 2 zilizopita nilisafiri kikazi kwenda mkoani kwa kazi ya siku 5. Siku moja kabla ya kurudi nyumbani nikaongezewa kazi ya wiki moja nyingine.
Kimbembe kikawa kwa wife nyumbani hakunielewa. Kukatokea kupishana ila mm sikujali sana coz sikuichukulia serious sana na kweli nilikuwa mkoani kikazi. Yeye akawa anadai nipo hapahapa Dar kwa michepuko yangu.
Sasa jana nimerudi home toka mkoa nimekuta ana printout ya mawasiliano yangu yote ya kwenye simu. Kwa maana ya kwamba niliifuma karatasi inayoonyesha nimewasiliana nani, wakati gani, yupo wapi na mm nikiwa wapi. Na nilimpombana zaidi akadai ana uwezo wa kupata mpk voice clip zangu kwa ninaowasiiliana nao.
Japo ilimthibitishia ni kweli nilikuwa nimesafiri lkn imeniogopesha sana. Kwa stage hii aliyofikia huyu anaweza kunidukua chochote kile kwenye simu yangu.
Wataalam wa sheria naomba mnisaidie hii kisheria imekaaje, Je kwa kuwa yeye ni mke halali wa ndoa, ni haki yake kupewa hizo taarifa? Vp kama nikiamua kuishtaki hiyo kampuni mimi kama mteja wao je sheria itanibeba?
Sina nia ya kuprocess kesi yoyote lkn nataka tu kufahamu.
Majibu yenu tafadhali.
Ah ah ka-procces kesi ili ulipwe na kampuni na huyo aliyempa taarifa atiwe njaa ujipoze na machungu maana inaonekana humo ndani ya kampuni kuna bwana wa mkeo anayetaka kukuvurugia ili mkeo apate nafasi ya kukuacha yeye ale nae maisha.Sina nia ya kuprocess kesi yoyote lkn nataka tu kufahamu.
Shitaka la kuingiliwa faragha ya mawasiliano (privacy) na Kampuni ya simu husika tupe kazi hiyo tupige hela.Ipo mzee baba
Huyo ana shoga yake customer careWakuu!
Wiki 2 zilizopita nilisafiri kikazi kwenda mkoani kwa kazi ya siku 5. Siku moja kabla ya kurudi nyumbani nikaongezewa kazi ya wiki moja nyingine.
Kimbembe kikawa kwa wife nyumbani hakunielewa. Kukatokea kupishana ila mm sikujali sana coz sikuichukulia serious sana na kweli nilikuwa mkoani kikazi. Yeye akawa anadai nipo hapahapa Dar kwa michepuko yangu.
Sasa jana nimerudi home toka mkoa nimekuta ana printout ya mawasiliano yangu yote ya kwenye simu. Kwa maana ya kwamba niliifuma karatasi inayoonyesha nimewasiliana nani, wakati gani, yupo wapi na mm nikiwa wapi. Na nilimpombana zaidi akadai ana uwezo wa kupata mpaka voice clip zangu kwa ninaowasiiliana nao.
Japo ilimthibitishia ni kweli nilikuwa nimesafiri lakini imeniogopesha sana. Kwa stage hii aliyofikia huyu anaweza kunidukua chochote kile kwenye simu yangu.
Wataalam wa sheria naomba mnisaidie hii kisheria imekaaje, Je kwa kuwa yeye ni mke halali wa ndoa, ni haki yake kupewa hizo taarifa? Vp kama nikiamua kuishtaki hiyo kampuni mimi kama mteja wao je sheria itanibeba?
Sina nia ya kuprocess kesi yoyote lkn nataka tu kufahamu.
Majibu yenu tafadhali.
Au itakua mkewe aliinstal trojan horse kwenye simu yake bila kujua😄Ndiyo kama anatumia smartphone na mke ana access na hiyo simu ni rahisi kudukua na usalama/uangalizi wa simcard pamoja na simu ni mteja si kampuni ya simu.
Hana haki kisheria,iwe ni hiyo kampuni iliyovujisha taarifa zako, au iwe ni yeye mwenyewe kafanya udukuzi.Na kama ukifungua mashtaka lazima wakutwe na hatia...Wakuu!
Wiki 2 zilizopita nilisafiri kikazi kwenda mkoani kwa kazi ya siku 5. Siku moja kabla ya kurudi nyumbani nikaongezewa kazi ya wiki moja nyingine.
Kimbembe kikawa kwa wife nyumbani hakunielewa. Kukatokea kupishana ila mm sikujali sana coz sikuichukulia serious sana na kweli nilikuwa mkoani kikazi. Yeye akawa anadai nipo hapahapa Dar kwa michepuko yangu.
Sasa jana nimerudi home toka mkoa nimekuta ana printout ya mawasiliano yangu yote ya kwenye simu. Kwa maana ya kwamba niliifuma karatasi inayoonyesha nimewasiliana nani, wakati gani, yupo wapi na mm nikiwa wapi. Na nilimpombana zaidi akadai ana uwezo wa kupata mpaka voice clip zangu kwa ninaowasiiliana nao.
Japo ilimthibitishia ni kweli nilikuwa nimesafiri lakini imeniogopesha sana. Kwa stage hii aliyofikia huyu anaweza kunidukua chochote kile kwenye simu yangu.
Wataalam wa sheria naomba mnisaidie hii kisheria imekaaje, Je kwa kuwa yeye ni mke halali wa ndoa, ni haki yake kupewa hizo taarifa? Vp kama nikiamua kuishtaki hiyo kampuni mimi kama mteja wao je sheria itanibeba?
Sina nia ya kuprocess kesi yoyote lkn nataka tu kufahamu.
Majibu yenu tafadhali.
Kama ujuavyo kuna mtambo wa pegasus wa israel, mahali, ulitumika sana enzi za chuma,, pengine kuna njema inafanya huko, inampa feedback😁Inawezekana. Naitoaje hiyo kama ni kweli
Kuna vitoto vimesoma IT havina ajira hizo program za spy ndio dili zao.Ukitaka kukomesha hiyo tabia nenda TCRA ukawaeleze. Nakwambia utampata mpaka aliyemprintia hizo docs. Na usikute unachapiwa sasa anaona akuchunge wewe usiwe kama yeye
Kuna uwezekano mkubwa.
Hizi spyware nilimuwekea jamaa kwenye simu ya mtu wake nikaona kuna dalili za kutoana roho ila nikapata upenyo nikaclear makosa yangu