MACHONDELA
JF-Expert Member
- May 7, 2018
- 940
- 1,573
Labda alimaamisha Gari anayoipenda yaani TOYOTA ALLEX
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa,Sasa ukute , mwanamke ni empty; hapo ndio anatoa hadi siri za ndani.
Wwww ututake radhiHivi humu hamna I'd inayoanza na ALEX?,[emoji848]
Alex AlexanderHivi humu hamna I'd inayoanza na ALEX?,![]()
UPDATE
huyu mwanamke leo jion nimeongea nae kwa kina sana ,kwa aibu kubwa amekiri na ametubu kuwa hatorudia .
(nimembananisha maswali ya mitego hadi amekiri kutembea na alex siku 4 kabla ya mimi kurudi)nadhan amekiri kwa kuhofia kuachana
nimekaa kwa muda wa takribani dk 15 nikitafakari juu ya kumsamehe ila nafsi imegoma,
nimemshukuru kwa kuwa mkweli,alex sina shida nae kwakuw hakumbaka,ni makubaliano ya wao wawili,
nimemsamehe ila nimemwambia kesho kutwa aende nyumban kwao au kwa rafik yake mkubwa ntamfuata hapo badae ,amelia sana ila ndo hivyo siwez kuish na msaliti,roho yangu haiwez kukubali
wakuu nimeamua kumpiga chini ila sijamwambia kama ndo tunaachana.
NB,Hajui kama ndo tunaachana
KUCHAPIWA MKE KUNAUMA MNO,alex sitomfanya kitu kwa sbb mke angeweka ngum jamaa angenyoosha mikono kuashiria kushindwa.
siwezi kufos hisia.
nina miaka 24, yeye ana 23.
SIDHANI KAMA NITAOA HIVI KARIBUNI
Nasubir mrejesho wa jion
inawezekana umeskia vibaya au umeskia ulichotaka kuskia sababu kuna vitu vilishakupa hint
Jf siku hizi chai nyingi...ni kunywa tu na kwenda kususu mbele ya safari!!!!
pole sana bro,pigs moyo konde okoa ndoa,mtazame tofauti now mkeo,nn anakosa from u.
UPDATE
huyu mwanamke leo jion nimeongea nae kwa kina sana ,kwa aibu kubwa amekiri na ametubu kuwa hatorudia .
(nimembananisha maswali ya mitego hadi amekiri kutembea na alex siku 4 kabla ya mimi kurudi)nadhan amekiri kwa kuhofia kuachana
nimekaa kwa muda wa takribani dk 15 nikitafakari juu ya kumsamehe ila nafsi imegoma,
nimemshukuru kwa kuwa mkweli,alex sina shida nae kwakuw hakumbaka,ni makubaliano ya wao wawili,
nimemsamehe ila nimemwambia kesho kutwa aende nyumban kwao au kwa rafik yake mkubwa ntamfuata hapo badae ,amelia sana ila ndo hivyo siwez kuish na msaliti,roho yangu haiwez kukubali
wakuu nimeamua kumpiga chini ila sijamwambia kama ndo tunaachana.
NB,Hajui kama ndo tunaachana
KUCHAPIWA MKE KUNAUMA MNO,alex sitomfanya kitu kwa sbb mke angeweka ngum jamaa angenyoosha mikono kuashiria kushindwa.
siwezi kufos hisia.
nina miaka 24, yeye ana 23.
SIDHANI KAMA NITAOA HIVI KARIBUNI
Daaah! [emoji20]Washamaliza.
NDOA kama NDOA.
#YNWA
Copied Roger, air strike deployed by Cpt Alex is on the way. OverMan down I repeat man.
Do you copy that?
We've been hit, we need backup!
Hapo ukute Alex alipewa usichopewa, naekampa usichompa. Ukisamehe na huo mtaa uhame kabisa sababu maji hayasahau baridi. Ukisafiri tuu jamaa anaingia mzigoniCha Kusikitisha sana ALEX hana maisha yanii[emoji27][emoji27][emoji27][emoji27] Mkeo anatakiwa arudi kwao asubiri kupata mwanamme mwingine wa maana..!! Wanawake akili zao sijui zikoje anachepuka na mwanaume wa ovyoo...
Nakubali mkulungwa ukweli usemweYaani mwanamke akishachepuka usiwah kumsamehe kaka. Ukiwaza kumsamehe ww kumbuka kuna mda ilitoka bahati mbaya...akaichukua yeye mwenyew akairudisha ndani halaf kasogea kwa chini ili isitoketoke[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Huwez msamehe!
Ushauri wangu Kama anakuomba msamaha fanya Jambo moja tu ili umsamehe akuambie ukweli wote then msamehe ila akikudanganya achana nae maana anakuzuga,, kwa imani yangu akiweza kukuambia ukweli maana yake amekiri kosa na analijutia hawezi rudia lakini akikudanganya tafsuri yake ni kwamba anakupoteza ili aendelee kukusalitimkewangu kanitumia sms nying sana za kuomba msamaha nimepiga kmya,sauti ya kumtaja alex niliisikia kwa umakini mno ,
Usikute Alex amekula kimasikhara kabisa na kashatoa story kwenye uzi wetu pendwaAlex Kamgongaaa tena siku za karibuni tuu...!! Yani hakuna namna Mwanamke au mwanaume anaweza mtaja Mtu mwingine wakati mnatiana na Hawajagongana.. HAIPOO...HAIPOO
ALEX KAMT....BA MKEO.
...inawezekana alitaja neno lingine na kwa kuwa wewe uliishasikia Alex anakula wake za Watu ukahisi kama Mkeo ameita Alex, kumbe la !Mi naona hapo tarizo siyo alex kumega mkeo. Tatizo ni elex kujulikana kwa tabia ya kula wake za watu. Kwanini usiashumu tu wife alitaja jesus ukasikia vibaya ili uupe amani ya uongo moyo wako ndugu
Atakua yule kocha wa man u babu alex,mkeo ni shabiki wa man uWeek mbili sikuwepo nyumbani, nimerudi jana wife kanipokea vizuri tu, sasa inshu imetokea usiku wa kuamkia leo. Tena yeye ndo aliomba mchezo kwa kudai amenimic sana, mwanaume nikaitikia.
Wakat naendelea kuchakata niliona kama anatetemeka hivi af kwa mbaali nikamsikia anasema alexiiiiii (kwa saut ya chini kabsa) nikashtuka nikamuuliza Alex ni nani, akajibu kwa mshangao na kuhoji Alex amehusikaje hapa ei mbona sijataja neno Alex.
Tangu usiku huo nilimwambia akalale sebuleni ili asubuh anipe maelezo ya kueleweka la sivyo nikitoka kazini nisimkute.
ALEX ni nani ni sharobaro flani Hivi bodaboda wa mtaani kwetu ,niliwah kusikia kwa watu anachukua wake za watu ila sina uhakika.
Jion narudi nyumban ,maoni yenu wadau