Mke wangu ametaja ALEX wakati tunafanya mapenzi

Mke wangu ametaja ALEX wakati tunafanya mapenzi

Alex Kamgongaaa tena siku za karibuni tuu...!! Yani hakuna namna Mwanamke au mwanaume anaweza mtaja Mtu mwingine wakati mnatiana na Hawajagongana.. HAIPOO...HAIPOO

ALEX KAMT....BA MKEO.
Itakua ki masihara
 
Week mbili sikuwepo nyumbani, nimerudi jana wife kanipokea vizuri tu, sasa inshu imetokea usiku wa kuamkia leo. Tena yeye ndo aliomba mchezo kwa kudai amenimic sana, mwanaume nikaitikia.

Wakat naendelea kuchakata niliona kama anatetemeka hivi af kwa mbaali nikamsikia anasema alexiiiiii (kwa saut ya chini kabsa) nikashtuka nikamuuliza Alex ni nani, akajibu kwa mshangao na kuhoji Alex amehusikaje hapa ei mbona sijataja neno Alex.

Tangu usiku huo nilimwambia akalale sebuleni ili asubuh anipe maelezo ya kueleweka la sivyo nikitoka kazini nisimkute.

ALEX ni nani ni sharobaro flani Hivi bodaboda wa mtaani kwetu ,niliwah kusikia kwa watu anachukua wake za watu ila sina uhakika.

Jion narudi nyumban ,maoni yenu wadau
Alex inabid aonywe tabia ya kutembea na wake za watu
 
Cha Kusikitisha sana ALEX hana maisha yanii[emoji27][emoji27][emoji27][emoji27] Mkeo anatakiwa arudi kwao asubiri kupata mwanamme mwingine wa maana..!! Wanawake akili zao sijui zikoje anachepuka na mwanaume wa ovyoo...
 
UPDATE

huyu mwanamke leo jion nimeongea nae kwa kina sana ,kwa aibu kubwa amekiri na ametubu kuwa hatorudia .

(nimembananisha maswali ya mitego hadi amekiri kutembea na alex siku 4 kabla ya mimi kurudi)nadhan amekiri kwa kuhofia kuachana

nimekaa kwa muda wa takribani dk 15 nikitafakari juu ya kumsamehe ila nafsi imegoma,

nimemshukuru kwa kuwa mkweli,alex sina shida nae kwakuw hakumbaka,ni makubaliano ya wao wawili,

nimemsamehe ila nimemwambia kesho kutwa aende nyumban kwao au kwa rafik yake mkubwa ntamfuata hapo badae ,amelia sana ila ndo hivyo siwez kuish na msaliti,roho yangu haiwez kukubali

wakuu nimeamua kumpiga chini ila sijamwambia kama ndo tunaachana.

NB,Hajui kama ndo tunaachana

KUCHAPIWA MKE KUNAUMA MNO,alex sitomfanya kitu kwa sbb mke angeweka ngum jamaa angenyoosha mikono kuashiria kushindwa.

siwezi kufos hisia.

nina miaka 24, yeye ana 23.

SIDHANI KAMA NITAOA HIVI KARIBUNI
Yaani miaka 24 unaoa?aisee hua mnawahi wapi na hizo ndoa?
Ndio maana zinawapa taabu saaana.
 
Back
Top Bottom