Mke wangu ametaja ALEX wakati tunafanya mapenzi

inawezekana umeskia vibaya au umeskia ulichotaka kuskia sababu kuna vitu vilishakupa hint
 
UPDATE

huyu mwanamke leo jion nimeongea nae kwa kina sana ,kwa aibu kubwa amekiri na ametubu kuwa hatorudia .

(nimembananisha maswali ya mitego hadi amekiri kutembea na alex siku 4 kabla ya mimi kurudi)nadhan amekiri kwa kuhofia kuachana

nimekaa kwa muda wa takribani dk 15 nikitafakari juu ya kumsamehe ila nafsi imegoma,

nimemshukuru kwa kuwa mkweli,alex sina shida nae kwakuw hakumbaka,ni makubaliano ya wao wawili,

nimemsamehe ila nimemwambia kesho kutwa aende nyumban kwao au kwa rafik yake mkubwa ntamfuata hapo badae ,amelia sana ila ndo hivyo siwez kuish na msaliti,roho yangu haiwez kukubali

wakuu nimeamua kumpiga chini ila sijamwambia kama ndo tunaachana.

NB,Hajui kama ndo tunaachana

KUCHAPIWA MKE KUNAUMA MNO,alex sitomfanya kitu kwa sbb mke angeweka ngum jamaa angenyoosha mikono kuashiria kushindwa.

siwezi kufos hisia.

nina miaka 24, yeye ana 23.

SIDHANI KAMA NITAOA HIVI KARIBUNI
 
Duuuh. Na mmeishi Pamoja kwa muda gani.
 
Iseee , shughuli ndio imeisha hivi?!
 
Una roho nzuri mwenzio Alex anapumnzika KWA mkeo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa inakuwaje unapata period kila wikend kama sio ex kufanya yake kwa sangoma
Ni masihara tu hayo usiniache gizan mwenzio ...si ulisema singlemom unatafuna tu mbususu? Nn kunikimbia mwenzio sasa
 
Week mbili sikuwepo nyumbani, nimerudi jana wife kanipokea vizuri tu, sasa inshu imetokea usiku wa kuamkia leo. Tena yeye ndo aliomba mchezo kwa kudai amenimic sana, mwanaume nikaitikia.

Wakat naendelea kuchakata niliona kama anatetemeka hivi af kwa mbaali nikamsikia anasema alexiiiiii (kwa saut ya chini kabsa) nikashtuka nikamuuliza Alex ni nani, akajibu kwa mshangao na kuhoji Alex amehusikaje hapa ei mbona sijataja neno Alex.

Tangu usiku huo nilimwambia akalale sebuleni ili asubuh anipe maelezo ya kueleweka la sivyo nikitoka kazini nisimkute.

ALEX ni nani ni sharobaro flani Hivi bodaboda wa mtaani kwetu ,niliwah kusikia kwa watu anachukua wake za watu ila sina uhakika.

Jion narudi nyumban ,maoni yenu wadau
Kuna gari inaitwa Toyota Allex. Itakuwa anapanga kukununulia,anaiwaza sana
 
Daah Alexi kakuzidi pakubwa mzee.. anamkuna mkeo vilivyo kuliko wewe...sidhan kama keshawahi kukutaja wewe akiwa anakunwa papuchi na Alexi.. Pole mkuu..usimfukuze.. kuchapiwa ni SIRI ya kambi
 
We mbona unataka kumfanyia kitu kibaya huyo barobaro wako,kwa nini usidili na huo mchepuko wako?unamshauri nini mwenzio
Amtie adabu uyo kijana[emoji4]
Ifike mahali vijana waheshimu Mali za watu
 
Week mbili sikuwepo nyumbani, nimerudi jana wife kanipokea vizuri tu, sasa inshu imetokea usiku wa kuamkia leo. Tena yeye ndo aliomba mchezo kwa kudai amenimic sana, mwanaume nikaitikia.

Wakat naendelea kuchakata niliona kama anatetemeka hivi af kwa mbaali nikamsikia anasema alexiiiiii (kwa saut ya chini kabsa) nikashtuka nikamuuliza Alex ni nani, akajibu kwa mshangao na kuhoji Alex amehusikaje hapa ei mbona sijataja neno Alex.

Tangu usiku huo nilimwambia akalale sebuleni ili asubuh anipe maelezo ya kueleweka la sivyo nikitoka kazini nisimkute.

ALEX ni nani ni sharobaro flani Hivi bodaboda wa mtaani kwetu ,niliwah kusikia kwa watu anachukua wake za watu ila sina uhakika.

Jion narudi nyumban ,maoni yenu wadau

Nasemaje...Mimi ndo Alex na hakuna kitu utafanya ...baada ya kuja tuelewane unauleta uzi wako huku ili kunichoresha endelea[emoji3064]
 
Back
Top Bottom