Mke wangu ametaja ALEX wakati tunafanya mapenzi

Week mbili sikuwepo nyumbani, nimerudi jana wife kanipokea vizuri tu, sasa inshu imetokea usiku wa kuamkia leo. Tena yeye ndo aliomba mchezo kwa kudai amenimic sana, mwanaume nikaitikia.

Wakat naendelea kuchakata niliona kama anatetemeka hivi af kwa mbaali nikamsikia anasema alexiiiiii (kwa saut ya chini kabsa) nikashtuka nikamuuliza Alex ni nani, akajibu kwa mshangao na kuhoji Alex amehusikaje hapa ei mbona sijataja neno Alex.

Tangu usiku huo nilimwambia akalale sebuleni ili asubuh anipe maelezo ya kueleweka la sivyo nikitoka kazini nisimkute.

ALEX ni nani ni sharobaro flani Hivi bodaboda wa mtaani kwetu ,niliwah kusikia kwa watu anachukua wake za watu ila sina uhakika.

Jion narudi nyumban ,maoni yenu wadau
Ile amri ya usiue izingatie sn mkuu
 
Mambo yapo haya... Jana tu mimi inenitokea sem nilizugaa balaaaa...!!!
Na mm imenitokea sana kuna manzi anadinyana balaa siku nkajagongana na kamanz kangu katikat ya mechi nkaropoka jina jamila weeee ilikua shida
 
Kama ni ivyo na alex unamjua fanya uchunguzi kwa watu wa karibu na alex utaujua ukweli usiwe na pupa,mbona utajua tu kama amekosea au lah.....
 
Week mbili sikuwepo nyumbani, nimerudi jana wife kanipokea vizuri tu, sasa inshu imetokea usiku wa kuamkia leo. Tena yeye ndo aliomba mchezo kwa kudai amenimic sana, mwanaume nikaitikia.

Wakat naendelea kuchakata niliona kama anatetemeka hivi af kwa mbaali nikamsikia anasema alexiiiiii (kwa saut ya chini kabsa) nikashtuka nikamuuliza Alex ni nani, akajibu kwa mshangao na kuhoji Alex amehusikaje hapa ei mbona sijataja neno Alex.

Tangu usiku huo nilimwambia akalale sebuleni ili asubuh anipe maelezo ya kueleweka la sivyo nikitoka kazini nisimkute.

ALEX ni nani ni sharobaro flani Hivi bodaboda wa mtaani kwetu ,niliwah kusikia kwa watu anachukua wake za watu ila sina uhakika.

Jion narudi nyumban ,maoni yenu wadau
Ohooooo,mwanamke akitembea nje akija kwako anajifanya anakupenda balaa.huyo ni mwanamke sio mke.
Hatari sana
 
Back
Top Bottom