Mke wangu ametaja ALEX wakati tunafanya mapenzi

Alex ni bodaboda huenda huwa anambeba mkeo pale anapoenda sokoni kuchukua mahitaji ya nyumbani

Sasa kilichofanya amtaje kakumbuka zile speed za bodaboda wakati anapowahi nyumbani kukupikia mme wake ili ukirudi ukute kila kitu kipo sawa.

Mkeo huenda anakupenda japo kuna washauri watataka umpoteze
 

The obvious, help, hellos, send help, one solider down!

Wewe hujamfungulia biashara, Ila Yule anayeleta gas apike ndo kamla!

Siku mtu akimwelewa mwanamke atakuwa ameshakufa!
 
Acheni kumtisha mwenzenu bana,inawezakana Alex huwa tu anakuja nyumbani kuleta vitu vya sokoni hivyo mkewe kazoeana naye...
 
Kabla ya hapo alikuwa kashakagua Simu enzi za Nokia tochi 2012 akakuta nimesevu huyo mwingine na ki[emoji3590] mbele ya jina akamaindi haswa. Niliachika Mkuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]daa pisi kali ikakumwaga kisa utopoloo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…