Mke wangu ametaja ALEX wakati tunafanya mapenzi

Acheni kumtisha mwenzenu bana,inawezakana Alex huwa tu anakuja nyumbani kuleta vitu vya sokoni hivyo mkewe kazoeana naye...
Kwendaaaaa haipoooo haipoo.. Mimi ikinikuta na nikataja jina la manzi ninaemgonga why nisitaje jina la mwanangu au beki tatu ambae kila siku nipo nae?????? UNATAJA JINA LA ALIEKUPA UTAMU.
 
mkewangu kanitumia sms nying sana za kuomba msamaha nimepiga kmya,sauti ya kumtaja alex niliisikia kwa umakini mno ,
Nakufuatilia mkuu. Acha hiyo takataka ingekuwa ni yenyewe ingekuacha bila huruma.
 
Issue yako ni ngumu Sana kupata ushauri wa direct chamuimu wew kubaliana na ukweli tu maana dhamiri imeshakupa sign ya kila kitu .. najua inauma Sana wew fwata moyo wako unahukumu vip Kama unampenda msamee Kama humpendi Sana mpe mda wakujirekebisha Kama humpendi kabisa.. fukuza

Au angalia hasara utakayoipata baada yakumfukuza ..

Then angalia faida utakayoipata usipo mfukuza

Kisha calculate .. utapata jibu

Kumbuka uwezi mchunga mwanamke ..
 
Malaya na wachawi BIBLIA imetamka WAACHWE..!!

#YNWA
 
Sasa kama Alex ndo kiboko ya wake za watu yawezakuwa ana mbinu za kirussia mkeo alishindwa kuchomoa kwake brother . Tafuta namna ya kuupata ukweli na kudeal na Alex kadiri iwezekananavyo na kama na ikiwezekana kuleni marinda zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alisikika akisema JESUS ila wewe ulisikia ALEX - Msamehe bure
 
Dah anyway sitaki kukukatisha tamaa sana inawezekana wife wako alikusudia kusema ashiiiii we ukasikia exxxxx mwishoni[emoji2296]nachokushauri mkalishe chini muyajenge usioaniki japo mistakes hutoke[emoji119]
 
Allex pia ni gari ndugu mume wa mke...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…