Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko sahihiNadhani umemanisha Bwana sio bwana.
Kwa mara ya mwisho, uliyenaye alikuhudumia nini?Seems like ulichofanyiwa ni kama ndo first time hivi,, kwahiyo kimekugusa sana mkuu 😀
Hongera mkuu kwa kulitambua hilo na kuanza kutulia.itabidi nimpeleke mbugani akaangalie wale ndege jamii ya kongoni
Muhimu, nje usiwekeze sanaHiyo hiyo part time lakini inakula pesa zako na haikusaidii chochote, ilihali mkeo anakusaidia wewe, halafu ukifilisika unataka yeye ndio akuvumilie
Safi sana, chukua hatua.Mwishoni ndio nimeelewa
Alinihudumia zaidi ya ulichofanyiwa 😂🤗Kwa mara ya mwisho, uliyenaye alikuhudumia nini?
Si unajua watu wenye hela huwa hawatembei na cash? 😀 😀Sasa kama pesa tu ya kujinunulia nyama choma huna,je hiyo ya kumpeleka mbugani una uhakika unayo?
Unawapa ushauri gani wale waliopo kwenye mahusiano na mashetani? 😀Duh aiseee
Kwahyo umeondok mjin daslam na kwenda kwa village na ukapewa uwenyekiti?Oeni, ndoa inakupa heshima; huwezi kupewa uenyekiti wa kijiji bila kuwa na ndoa 😀
Nimefanya marekebisho, korongoHongera mkuu kwa kulitambua hilo na kuanza kutulia.
Ndege kongoni unayemsema, kila nikijaribu kugoogle anakuja huyo.View attachment 3125778
Si kweli, unamtetea tu; tuonyeshe uzi wakeAlinihudumia zaidi ya ulichofanyiwa 😂🤗
Muda si mrefu nitapewa uenyekiti; mambo yakiwa magumu huko mjini njooni nitawapokea 😀Kwahyo umeondok mjin daslam na kwenda kwa village na ukapewa uwenyekiti?
Kijiji gan hichoMuda si mrefu nitapewa uenyekiti; mambo yakiwa magumu huko mjini njooni nitawapokea 😀
😂😂 Ndio mtulie na wake zenu. Uliwahi ona wapi mchepuko akawa na upendo kwa mume wa mtu? Ni pesa tu ndio inafuatwa hapo na ukiishiwa wanakimbia.Nyie hamfai, kila siku mizinga tu
Kijiji gan hicho
Kwa hiyo nyie huwa hamna hisia au?😂😂 Ndio mtulie na wake zenu. Uliwahi ona wapi mchepuko akawa na upendo kwa mume wa mtu? Ni pesa tu ndio inafuatwa hapo na ukiishiwa wanakimbia.