Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Najua baba😔Kinyume cha kupooza siunakijua lakini mama😊
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najua baba😔Kinyume cha kupooza siunakijua lakini mama😊
Usharudi dodomaNajua baba😔
Nilisharudi muda tu....na hapa bado niko kazini napambana, acha tuUsharudi Dodoma
Umeniuzi sasa kwanini hujaniambia tuondoke wote?Nilisharudi muda tu....na hapa bado niko kazini napambana, acha tu
Kazi gani hizo za mpaka saa 9 za usiku🙄Nilisharudi muda tu....na hapa bado niko kazini napambana, acha tu
Jamani, wewe nawe hukueleweka unahitaji nini,halafu tumeondoka wengi.Umeniuzi sasa kwanini hujaniambia tuondoke wote?
Kazi za watu tu😁😁Kazi gani hizo za mpaka saa 9 za usiku🙄
Dah...Kama mkeo au mpenzi wako wa kike hakutumii hela, huyo hajatoka kwa bwana, bali ametoka kwa shetani.
Inamaana ujui ninachotaka?Jamani, wewe nawe hukueleweka unahitaji nini,halafu tumeondoka wengi.
Kazi za watu tu😁😁,
NajuaInamaana ujui ninachotaka?
Haya sasa nambie unafanya kazi kwa nani saa kumi za usiku🤔Najua
Wewe kiumbe wa ajabu kabisa yaani unafurahia mkeo katoka kumegwa na buzi lake amehongwa hela anakutumia na unajisifia? Una roho ngumu sana wewe jamaa.Nipo mkoa wa huku kusini kwenye harakati zangu za utafutaji,nikaingia mtaa mmoja wa nyama choma; ile harufu ya nyama ikaufadhaisha mwili wangu, kuangalia mfukoni nina elfu tano tu, na kwenye simu sina salio lingine.
Wazo likanijia nimpigie simu mama k; ile kupokea simu tukaanza kujuliana hali, nikamwambia hapa nilipo nimepita mtaa x nimekutana na harufu ya nyama choma, naomba uniwezeshe salio, langu halisomi.
Akasema subiri, baada ya dakika tatu ikaingia salio la kuniwezesha kula na kunywa, akanipigia na kuniambia, kesho nitakuwa vizuri zaidi nitakutumia fungu kubwa.
Nikaishiwa nguvu, na kuanza kujiuliza kwa nini naangaika na michepuko inayokula hela zangu tu na hainisaidii; kweli mke wangu ametoka kwa bwana.
Michepuko siitaki tena; wkend itabidi nimpeleke mbugani akaangalie wale ndege jamii ya korongo ambao hawaachani mpaka wanapokufa, na akifa mmoja wapo yule aliyebaki anabaki hivyo hivyo mpaka mwisho wake.
Kama mkeo au mpenzi wako wa kike hakutumii hela, huyo hajatoka kwa bwana, bali ametoka kwa shetani.
😃Hongera mkuuNipo mkoa wa huku kusini kwenye harakati zangu za utafutaji,nikaingia mtaa mmoja wa nyama choma; ile harufu ya nyama ikaufadhaisha mwili wangu, kuangalia mfukoni nina elfu tano tu, na kwenye simu sina salio lingine.
Wazo likanijia nimpigie simu mama k; ile kupokea simu tukaanza kujuliana hali, nikamwambia hapa nilipo nimepita mtaa x nimekutana na harufu ya nyama choma, naomba uniwezeshe salio, langu halisomi.
Akasema subiri, baada ya dakika tatu ikaingia salio la kuniwezesha kula na kunywa, akanipigia na kuniambia, kesho nitakuwa vizuri zaidi nitakutumia fungu kubwa.
Nikaishiwa nguvu, na kuanza kujiuliza kwa nini naangaika na michepuko inayokula hela zangu tu na hainisaidii; kweli mke wangu ametoka kwa bwana.
Michepuko siitaki tena; wkend itabidi nimpeleke mbugani akaangalie wale ndege jamii ya korongo ambao hawaachani mpaka wanapokufa, na akifa mmoja wapo yule aliyebaki anabaki hivyo hivyo mpaka mwisho wake.
Kama mkeo au mpenzi wako wa kike hakutumii hela, huyo hajatoka kwa bwana, bali ametoka kwa shetani.
Sasa unataka niseme kazi yangu hapa hadharani ili kila mtu ajue ninapopata pesa zangu?Haya sasa nambie unafanya kazi kwa nani saa kumi za usiku🤔
Nakukubali kipenzi changu. Missed you🥰😍Sasa unataka niseme kazi yangu hapa hadharani ili kila mtu ajue ninapopata pesa zangu?
We jua kuwa naingia kazini saa tatu usiku, na kutoka saa kumi na moja alfajiri....japo wakati mwingine shift hubadilika kutokana na uhitaji wangu kwao.
Cc: fyddell msiri wangu.
Mee too babe💕💕💕Nakukubali kipenzi changu. Missed you🥰😍
Amekuatumia kiasi gani? 😀Nakukubali kipenzi changu. Missed you🥰😍
Mtumie salio, ili kuthibitisha umetoka kwa bwana 😀Mee too babe💕💕💕
Sijaisoma thread kuepuka kinyaa.Nipo mkoa wa huku kusini kwenye harakati zangu za utafutaji,nikaingia mtaa mmoja wa nyama choma; ile harufu ya nyama ikaufadhaisha mwili wangu, kuangalia mfukoni nina elfu tano tu, na kwenye simu sina salio lingine.
Wazo likanijia nimpigie simu mama k; ile kupokea simu tukaanza kujuliana hali, nikamwambia hapa nilipo nimepita mtaa x nimekutana na harufu ya nyama choma, naomba uniwezeshe salio, langu halisomi.
Akasema subiri, baada ya dakika tatu ikaingia salio la kuniwezesha kula na kunywa, akanipigia na kuniambia, kesho nitakuwa vizuri zaidi nitakutumia fungu kubwa.
Nikaishiwa nguvu, na kuanza kujiuliza kwa nini naangaika na michepuko inayokula hela zangu tu na hainisaidii; kweli mke wangu ametoka kwa bwana.
Michepuko siitaki tena; wkend itabidi nimpeleke mbugani akaangalie wale ndege jamii ya korongo ambao hawaachani mpaka wanapokufa, na akifa mmoja wapo yule aliyebaki anabaki hivyo hivyo mpaka mwisho wake.
Kama mkeo au mpenzi wako wa kike hakutumii hela, huyo hajatoka kwa bwana, bali ametoka kwa shetani.
Umesoma 'cover' la kitabu, ukakimbia; watu wengi wanafeli kutokana na mihemko, fungua kurasa za kitabu usome na uelewe.Sijaisoma thread kuepuka kinyaa.
Ametoka kwa bwana kugegedwa?
Vijana wa siku hizi hata hamuelewi kuchapiwa ni siri ya ndani, ninyi ni kutandaza tu mambo hadharani, loh!