Mke wangu ametoka kwa bwana

Wewe kiumbe wa ajabu kabisa yaani unafurahia mkeo katoka kumegwa na buzi lake amehongwa hela anakutumia na unajisifia? Una roho ngumu sana wewe jamaa.
 
😃Hongera mkuu
 
Haya sasa nambie unafanya kazi kwa nani saa kumi za usiku🤔
Sasa unataka niseme kazi yangu hapa hadharani ili kila mtu ajue ninapopata pesa zangu?
We jua kuwa naingia kazini saa tatu usiku, na kutoka saa kumi na moja alfajiri....japo wakati mwingine shift hubadilika kutokana na uhitaji wangu kwao.
Cc: fyddell msiri wangu.
 
Nakukubali kipenzi changu. Missed you🥰😍
 
Sijaisoma thread kuepuka kinyaa.

Ametoka kwa bwana kugegedwa?

Vijana wa siku hizi hata hamuelewi kuchapiwa ni siri ya ndani, ninyi ni kutandaza tu mambo hadharani, loh!
 
Sijaisoma thread kuepuka kinyaa.

Ametoka kwa bwana kugegedwa?

Vijana wa siku hizi hata hamuelewi kuchapiwa ni siri ya ndani, ninyi ni kutandaza tu mambo hadharani, loh!
Umesoma 'cover' la kitabu, ukakimbia; watu wengi wanafeli kutokana na mihemko, fungua kurasa za kitabu usome na uelewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…