Mke wangu ameweka kijiti cha uzazi wa mpango bila kunishirikisha tena nkiwa mbali kwa miezi minne

Walisha mgegeda huyo. Miezi minne upo m ali huko unadhani mkeo hana nyege 🤣🤣🤣🤣🤣
 
mashoga hamna nafasi ya kusikilizwa. We ukiamua kua shoga utulize. We kila siku unajtangaza ni bwabwa afu unataka kusikilizwa na kutoa maoni akat umeshndwa tunza jicho lako.
We endelea kubweka wakati mkeo anapasuliwa MBUNYE na LINJEMBA tena buree.

Halafu jicho tamu hujui tu, njoo nikupe upunguze machungu ya KULOMBEWA.
 
80% ya wanawake wanafanya vitu kwasababu ya kushauriwa na marafiki zao mi wa kwangu alitaka kuleta huo upuuzi nikamwambia No tunatumia calendar and we are safe tuna miezi Saba tangia mungu atubariki mtoto.
 
Lakini pia mkuu kama ni mtu wa kusafiri ukirudi kutoka safarini usipige mzigo mpaka uone siku zake.
 
Ndiyo maana una lia lia.
Angelikulea baba yako angeli kufundisha namna ya kumfundisha mkeo,sasa kwakuwa umelelewa na mama yako jikoni ndiyo maana mkeo anakupa hizo pigo na wewe unatupigia kelele huku.
Ameshasahau kumbe mi nlilelewa na mamaako chumbani, kwa hyo huku kulialia alinifundisha yeye.
 
Hiyo ni heshima ya kipuuzi...
 
Ndo maana mnakufa haraka kwa kumind mambo madogo madogo na kuyakuza hadi kuyaleta humu. Jibu la mkeo huko lingetosha.
Unataka upewe majibu negative umezeshwe mawazo mabaya uanze kumchukia mke wako halafu uanze kumtafuta mchawi nani.

Akiamua kuliwa ataliwa tu bila hata kuwekewa hivyo vijiti.
 
we jamaa ni lizembe sana 🚮🚮
 

Usiwe unakoment post za vitu vidogox2. zipo post za vitu vikubwa kwa watu kama nyie msiokufa mapema wenye 527 yrs
 
Unawapa credit kataa ndoa mkuu, vumilia tu kaka, ukimwelewesha ataelewa kuwa amekosa
 
Usasa usasa unahari mambo mengi. Kwa sababu ya hio elimu ya usasa aliyopewa, hii ndoa ipo matatani
 
Kwenye clinic anapompeleka mtoto kupima ile Kila mwezi wanatoaga elimu ya uzazi wa mpango na hivi mtoto Bado mdogo
Nikawaida usianze kutafuta yasiyokuwepo
Unaonekana ni mtu wa kada ya afya. Sasa mnapowapa elimu hii, hamuwaambii wamshirikishe mwenza wao kwenye maamuzi? Swala sio kuweka, swala ni kuweka bila kumshirikisha mwenzi wake
 
Issue ni kwa nini aliweka mumewe (mwenye haki ya hicho kipochi) akiwa hayapo?

Aliweka ili aepuke mimba ya nani?...alikuwa anachepuka? Kuna ulazima gani aweke wakati mumewe hayapo?

Unaweza ukachukulia kitu kwa urahisi lakini kwenye kichwa cha mwanaume tayari uneshaingia doa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…