Mke wangu amezidisha dharau

Mke wangu amezidisha dharau

Nahisi kuna uhitaji wa kuenda semina za ndoa kabla ya kuingia ndani na kuishi na mume/mke,maana hali hii iko pahali pengi sana,yaani kati ya ndoa 100, zenye afadhali ni 12,nyingine zote,pangu pakavu tia mchuzi. Nendeni semina ninyi nyote.
 
Pole sana kijana ,kuwa mwanaume ,cha kwanza shida umeshaiona ni simu kwa kuwa amekususia mwenyewe kaa nayo mazima,laini zake kaa nazo wewe ila usizitumie ,na hata kama ana uwezo wa kununua simu nyingine usimruhusu,mawasiliano yake ya ndugu zake na watu wake wa karbu basi yapitie kwako kwa kipindi hata miezi 6 hivi halafu mpe laini mpya kwa kipindi utakapompa simu nyingine na mpe shart nakupa simu ila sina mipaka simu yako ni yangu sihitaji ruhusa yako kushika simu yako wala yangu,na ikibuma hiyo njia ujue kunguru hafugiki
 
Mwanamke hahitaji mwanaume dhaifu na usie na maamuzi kama wewe.
Kakuweka kwenye mizani yake kaona wewe ni dhaifu na huwezi kuishi bila yeye hata ukimfumania yuko uchi chumbani kwako kitandani kwako anajua bado hutaweza kumuacha.

Mapenzi hayaongezwi kwa kuonyesha udhaifu au kuwa fala badilika.
 
Niende moja kwa moja kwenye mada. Ni miaka minne toka nimemuweka ndani zamani alikua mtiifu tuu vizuri ila kuanzia mwaka huuu mwanzoni nimeanza kuona dalili ambazo sio nzuri. Kwanza nilishawai kuikagua simu yake kwenye call zake nikakuta anampigia Sana ex wake yaaan unakuta amempigia wameongea ata zaidi ya dakika kumi nikamuuliza akajibu tuu ni stori walikua wanapiga aliniuzi Sana nikataka kumfukuza arudi kwao aliomba msamaha na nikiangalia nina mtoto mdogo nikaona isiwetabu nikafunika kombe . Juzi juzi hapa anapigiwa simu na namba ngeni sauti ya mwanaume anajing'ang'ata tuuuu anadanganya tu unakuja kugundua ni mtu wanatongozana anadai anamtongoza tuuuu. Pia unamtuma labla aende dukani unakuta mtu anakaaa kabisa yaaan anasema mbali yaaan nimeumia Sana mke niliye muoa anakaaa kutumwa na Mimi. Ni mengi Sana huyu mwanamke anachangamoto Jana amenizilia simu na kutoa laini ya simu baada ya Mimi kumuomba simu niingie mtandaoni maana mm natumia kisimu kidogo. Naombeni ushauri jaman maana nahis kuchanganyiwa.
Hatari sana ndoa za kuokotana kariakoo na hostel za vyuo bila kujitayarisha matokeo yake ndio haya kijana analia lia jukwaani mwanaume anamaliza changamoto bila vikao ondoka hapa nyambafu!
 
Mwanamke hahitaji mwanaume dhaifu na usie na maamuzi kama wewe.
Kakuweka kwenye mizani yake kaona wewe ni dhaifu na huwezi kuishi bila yeye hata ukimfumania yuko uchi chumbani kwako kitandani kwako anajua bado hutaweza kumuacha.

Mapenzi hayaongezwi kwa kuonyesha udhaifu na badilika.
100% perfect

Hii kitu nawambia watu hawanielewi.
 
Huu mda uliotumia kuandika Uzi ulitakiwa uutumie kuandika talaka
 
Wewe umeshajichunguza na kujiona huna tatizo??
Ujue wanawake wanachukua muda mrefu mpaka kumchana makavu mtu tofauti na wanaume, wewe unamchana kua ana kiburi na mambo kama hayo anakausha tu, si ajabu na wewe una mabalaa yako.

Nenda nae mahali mtulie nae atoe lilo moyoni mwake.
 
Niende moja kwa moja kwenye mada. Ni miaka minne toka nimemuweka ndani zamani alikua mtiifu tuu vizuri ila kuanzia mwaka huuu mwanzoni nimeanza kuona dalili ambazo sio nzuri. Kwanza nilishawai kuikagua simu yake kwenye call zake nikakuta anampigia Sana ex wake yaaan unakuta amempigia wameongea ata zaidi ya dakika kumi nikamuuliza akajibu tuu ni stori walikua wanapiga aliniuzi Sana nikataka kumfukuza arudi kwao aliomba msamaha na nikiangalia nina mtoto mdogo nikaona isiwetabu nikafunika kombe . Juzi juzi hapa anapigiwa simu na namba ngeni sauti ya mwanaume anajing'ang'ata tuuuu anadanganya tu unakuja kugundua ni mtu wanatongozana anadai anamtongoza tuuuu. Pia unamtuma labla aende dukani unakuta mtu anakaaa kabisa yaaan anasema mbali yaaan nimeumia Sana mke niliye muoa anakaaa kutumwa na Mimi. Ni mengi Sana huyu mwanamke anachangamoto Jana amenizilia simu na kutoa laini ya simu baada ya Mimi kumuomba simu niingie mtandaoni maana mm natumia kisimu kidogo. Naombeni ushauri jaman maana nahis kuchanganyiwa.
Mpandishe cheo awe Mke mkubwa
 
Back
Top Bottom