Mke wangu amezidisha dharau

Mke wangu amezidisha dharau

Niende moja kwa moja kwenye mada. Ni miaka minne toka nimemuweka ndani zamani alikua mtiifu tuu vizuri ila kuanzia mwaka huuu mwanzoni nimeanza kuona dalili ambazo sio nzuri. Kwanza nilishawai kuikagua simu yake kwenye call zake nikakuta anampigia Sana ex wake yaaan unakuta amempigia wameongea ata zaidi ya dakika kumi nikamuuliza akajibu tuu ni stori walikua wanapiga aliniuzi Sana nikataka kumfukuza arudi kwao aliomba msamaha na nikiangalia nina mtoto mdogo nikaona isiwetabu nikafunika kombe . Juzi juzi hapa anapigiwa simu na namba ngeni sauti ya mwanaume anajing'ang'ata tuuuu anadanganya tu unakuja kugundua ni mtu wanatongozana anadai anamtongoza tuuuu. Pia unamtuma labla aende dukani unakuta mtu anakaaa kabisa yaaan anasema mbali yaaan nimeumia Sana mke niliye muoa anakaaa kutumwa na Mimi. Ni mengi Sana huyu mwanamke anachangamoto Jana amenizilia simu na kutoa laini ya simu baada ya Mimi kumuomba simu niingie mtandaoni maana mm natumia kisimu kidogo. Naombeni ushauri jaman maana nahis kuchanganyiwa.
GO TO HELL NICE GUY. SORRY!
 
Hapo lazima uchanganyikiwe wewe ndiyo chanzo cha yeye kufanya hayo. Kosa lako la kwanza ni pale ulipomuendekeza baada ya kugundua anawasiliana na mume mwenzako. Kakuchukulia mwanaume poa.
 
Niende moja kwa moja kwenye mada. Ni miaka minne toka nimemuweka ndani zamani alikua mtiifu tuu vizuri ila kuanzia mwaka huuu mwanzoni nimeanza kuona dalili ambazo sio nzuri. Kwanza nilishawai kuikagua simu yake kwenye call zake nikakuta anampigia Sana ex wake yaaan unakuta amempigia wameongea ata zaidi ya dakika kumi nikamuuliza akajibu tuu ni stori walikua wanapiga aliniuzi Sana nikataka kumfukuza arudi kwao aliomba msamaha na nikiangalia nina mtoto mdogo nikaona isiwetabu nikafunika kombe . Juzi juzi hapa anapigiwa simu na namba ngeni sauti ya mwanaume anajing'ang'ata tuuuu anadanganya tu unakuja kugundua ni mtu wanatongozana anadai anamtongoza tuuuu. Pia unamtuma labla aende dukani unakuta mtu anakaaa kabisa yaaan anasema mbali yaaan nimeumia Sana mke niliye muoa anakaaa kutumwa na Mimi. Ni mengi Sana huyu mwanamke anachangamoto Jana amenizilia simu na kutoa laini ya simu baada ya Mimi kumuomba simu niingie mtandaoni maana mm natumia kisimu kidogo. Naombeni ushauri jaman maana nahis kuchanganyiwa.
amani yetu.png
 
Ukiona hivyo ujuwe "performance" yako ipo chini ya viwango.

Jiulize, wewe ulimpataje, wenzako washindwe? Na wewe si ulimpata kwa mtu?
 
Tafuta hela au kimbia hiyo familia au ugongewe upige kimya.kwanini ulioa huku huna hata smartphone,we mwehu kweli.
 
Niende moja kwa moja kwenye mada. Ni miaka minne toka nimemuweka ndani zamani alikua mtiifu tuu vizuri ila kuanzia mwaka huuu mwanzoni nimeanza kuona dalili ambazo sio nzuri. Kwanza nilishawai kuikagua simu yake kwenye call zake nikakuta anampigia Sana ex wake yaaan unakuta amempigia wameongea ata zaidi ya dakika kumi nikamuuliza akajibu tuu ni stori walikua wanapiga aliniuzi Sana nikataka kumfukuza arudi kwao aliomba msamaha na nikiangalia nina mtoto mdogo nikaona isiwetabu nikafunika kombe . Juzi juzi hapa anapigiwa simu na namba ngeni sauti ya mwanaume anajing'ang'ata tuuuu anadanganya tu unakuja kugundua ni mtu wanatongozana anadai anamtongoza tuuuu. Pia unamtuma labla aende dukani unakuta mtu anakaaa kabisa yaaan anasema mbali yaaan nimeumia Sana mke niliye muoa anakaaa kutumwa na Mimi. Ni mengi Sana huyu mwanamke anachangamoto Jana amenizilia simu na kutoa laini ya simu baada ya Mimi kumuomba simu niingie mtandaoni maana mm natumia kisimu kidogo. Naombeni ushauri jaman maana nahis kuchanganyiwa.
Mliooa muwage mnapeana wiki kila mmoja akachepuke ili ndani ya nyumba muishi kwa amani
 
Back
Top Bottom