Mke wangu ana gubu sana

Aise
 
Kama kichwa cha khabari hapo Juu Kinavosema, nimeoa nina mke na mtoto mmoja Ila hii ndoa nahisi Kuanza kuishindwa kwasababu ya GUBU la mke wangu.
Huyo anataka kukua kwa kisukari na pressure endelea na mazoezi brother. Huyo hawezi ridhika. Pili anaonekana mswahili sana kama mzaramo hivi. Mchukulie poa afu wewe endelea na mambo yako. Utakufa kabla ya wakati.


Techniques za wanawake siku hizi ni kuua waume zao kwa kuwalisha vyakula vibaya. Coz wanaume wengi tu napenda kula vizuri atakupa mavyakula yenye mafuta, mwanga unenepe upate sukari na pressure ufe wewe unaona anakupenda kumbe anataka ufe uondoke abaki yeye.

So take care brother [emoji23] [emoji23]

Sent from my Infinix X672 using JamiiForums mobile app
 
Anakupa Papuchi vizuri??

Anakupikia, kufua,??

Nyumba safi?.

Mtoto wake yuko safi ?


Kama wajibu wake kama Mke anautekeleza.

Relax , uwe unampuuza, Kuna wakati Wanawake wanaanzisha chokochoko tu ili wewe umstue stue Kwa jaziba .



Kuna wenzako, wake zao wanaliwa nje, Wanawake wachawi, wachoyooo ,wanawadharau, wanatoa Siri za Ndoa nje Kwa mashost

So Bora ww
 
Kwamaana hioo tumuite MUUAJI 😂
 
Kweli kaka..
 
Asante ndugu..
 
Mnalalamika sana Jamii Forum , sasa hapo ana shida gani ? Gubu lake unalijua huo ndo msalaba wako ! Ubebe. Ndo mapungufu yake tafuta mbinu utakavyodeal nae!! Mahusiano ni kuchukuliana mkuu😂😂😂

Yaan siku hizi mtu hata akipata kipele tu anakimbilia JF kujiliza liza ! hata kama "Where we dare to talk openly" mmezidi
 
Kwahio hapo we ungefanyaje ungempiga..?Ungemfukuzaa...??
Mwanamke akianza kukudharau hata kama ni mzuri au una mrudhisha basi hamna kitu hapo tafuta plan B......kasha kuona bwege hamna tabia ambao hataicha kukufanyia neenda upate anae kuheshimu.......hiyo ndoa ni swala la mda atakupiga chini mwenyewe utalia sana bonge mwenzangu.
 
Asante...Bila Post kama izi ungesoma nini kwenye MMU...???Ndio mana hii sijaweka kwenye jukwaa la Ujenzi..!!Nimeweka huku MMU...
 
Amini, Amini, nakuambia...anayokwambia, anayasema anayoyafanya ili usije kufanya kama yeye anavyofanya. Hiyo ni defensive mechanism.
Usaliti 3: 16

Ukiweka moyoni maneno yake na kuonyesha hasira ya kumuonyesha mchepuko wako au neno lolote la usaliti. amini kuwa hakuna rangi hutaacha kuona. Atakulipizia mara 666 ½
Kisasi 31:1
 
Nimesikitika kuwa uliacha kwenda kufanya mazoezi kwasababu mkeo alikukataza, bro wewe ndo baba wafamilia una uwamuzi wa mwili wako mkeo na watoto wenu hata kama unampenda vipi usikubali akutoe kwenye mstari, na anakusoma vile unakubali anyokwambia Siku atakuzua kufanya vya muhimu zaidi ya hivyo nawe utakubali, we Fanya mambo yako kikubwa yawe ya halali kama anakupenda hawezi ondoka na mwisho wa Siku atakuunga mkono tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…