bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Hapa ni kuongeza tatizoKwahio Dawa ya mwanamke ni mwanamke 😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa ni kuongeza tatizoKwahio Dawa ya mwanamke ni mwanamke 😂😂
Bila shaka ndiyo kusema dawa ya moto ni motoKwahio Dawa ya mwanamke ni mwanamke 😂😂
Mahaba yako kwa Waarabu hayana mfano, nina uhakika unajuta kwa nini haukuzaliwa Mwarabu.Ukiona mwanamke "anagubu sana" ujuwe hapati haki ya unyumba anayohitaji.
Wanawake na wanaume tupo wa sampuli tofauti, vijana inabidi mlielewe hilo, kuna mtu kaweka uzi wa kitabu kizuri sana cha kuwafanya vijana mjielewe na muwaelewe wanawake na njia za kutatuwa matatizo. Tatizo kuu la unyumba, vipi unalitatuwa? Bofya chini hapo:
Bustani ya Manukato
Bustani Yenye Manukato ya Furaha ya Kihisia (1886) na Muhammad al-Nafzawi , iliyotafsiriwa kwa Kingereza na Richard Francis Burton. zinazohusiana : Ngono . Miradi Dada.miradi dada : Makala ya Wikipedia , kategoria ya Commons , bidhaa ya Wikidata . Bustani Yenye Manukato ( الروض العاطر في نزهة...www.jamiiforums.com