Mke wangu ana Mawasiliano na Mkwe na Mashemeji wa X wake. Pia ana account ya Social Network ambayo ameniblock siwezi kuiona anachoweka huko

Wewe jamaa pole sana.
Mwanamke wa kitanzania hapaswi kuoneshwa mahaba ya kizungu, sio asili yake. Amejua umekufa kwake.
Mwanamke wa kitanzania anaendeshwa kwa mfume thabiti. Kuwa mwanaume wewe

Ushauri wangu mrudishe kwao kama miezi miatu. Tafuta mwanamke mwingine mpange, mpige picha za mahaba. Weka ktk social media na wewe. Nakuambia Leo dawa ya mwanamke mshenzi n mwanamke mwenzake.
 
Mambo.

Mi Ni mwanaume mimeoa muda si mrefu Sana, nampenda mke wangu, lakini changamoto ninazoziona hata raha ya ndoa siioni. Tatizo ninaloliona kwa mke wangu Kwanza Ni Mawasiliano na Mashemeji zake na Mkwe wa X wake.

Hili Jambo nimejaribu kumueleza aliache naona Mawasiliano yapo vile vile. Nimegundua Jambo lingine ana Account ya Social network ina picha Nyingi alizopiga na X wake, na ameandika maneno mengi ya mahaba kumuhusu huyo X wake anavyompenda. Kiukweli nimeumia kwa kuwa nampenda.

Hiyo account ipo active anaitumia Mara kwa Mara kuandika maneno ya mahaba anavyompenda huyo X wake. Mpaka leo nimeona maneno mengine ya mahaba.

Najikuta naumia kwanini alikubali kuolewa na Mimi ili Hali Moyo wake Bado unampenda X wake.

Nawaza na kuwazua sikupenda kuoa na kuacha Ila changamoto hii ya kuwa na Mke ambae ametunza picha za X wake na Mawasiliano na mashemeji, naona Kama ipo siku atarudi kwa X wake. Au Tuta shere(Magonjwa mengi ya zinaa).

Naomba ushauri wako, ndugu Yangu.
Sasa unataka uone Nini uko social net
 
Unaonaje ukamrudisha kwa baba yake?kwanini uteseke kijana,
 
Mapenzi huwa yanawafanya wanaume wasitumie akili zao za kuzaliwa.

Ningekuwa karibu na wewe ningekuchapa kofi Moja zito akili imgekaa sawa sawa ungetoka na uamuzi mmoja mujarabu wa tatizo lako.

Ungetoa muongozo wa hio ndoa asietaka kuufuata unge mcast out.
 
Mambo.

Mi Ni mwanaume mimeoa muda si mrefu Sana, nampenda mke wangu, lakini changamoto ninazoziona hata raha ya ndoa siioni. Tatizo ninaloliona kwa mke wangu Kwanza Ni Mawasiliano na Mashemeji zake na Mkwe wa X wake.

Hili Jambo nimejaribu kumueleza aliache naona Mawasiliano yapo vile vile. Nimegundua Jambo lingine ana Account ya Social network ina picha Nyingi alizopiga na X wake, na ameandika maneno mengi ya mahaba kumuhusu huyo X wake anavyompenda. Kiukweli nimeumia kwa kuwa nampenda.

Hiyo account ipo active anaitumia Mara kwa Mara kuandika maneno ya mahaba anavyompenda huyo X wake. Mpaka leo nimeona maneno mengine ya mahaba.

Najikuta naumia kwanini alikubali kuolewa na Mimi ili Hali Moyo wake Bado unampenda X wake.

Nawaza na kuwazua sikupenda kuoa na kuacha Ila changamoto hii ya kuwa na Mke ambae ametunza picha za X wake na Mawasiliano na mashemeji, naona Kama ipo siku atarudi kwa X wake. Au Tuta shere(Magonjwa mengi ya zinaa).

Naomba ushauri wako, ndugu Yangu.
Mwanamke mchafu huyo achana naye mapema Zaid.
 
Unajua kina sisi tukiolewa ma x wetu wanajipendekeza sana, mwanamke usipo kuwa na msimamo unarudiana na x wako, kwanza Kama huyo x wake alimpenda mbona hakumuoa ?kwakuwa kaolewa ndo mahaba yanazidi kwa x.
 
Mambo.

Mi Ni mwanaume mimeoa muda si mrefu Sana, nampenda mke wangu, lakini changamoto ninazoziona hata raha ya ndoa siioni. Tatizo ninaloliona kwa mke wangu Kwanza Ni Mawasiliano na Mashemeji zake na Mkwe wa X wake.

Hili Jambo nimejaribu kumueleza aliache naona Mawasiliano yapo vile vile. Nimegundua Jambo lingine ana Account ya Social network ina picha Nyingi alizopiga na X wake, na ameandika maneno mengi ya mahaba kumuhusu huyo X wake anavyompenda. Kiukweli nimeumia kwa kuwa nampenda.

Hiyo account ipo active anaitumia Mara kwa Mara kuandika maneno ya mahaba anavyompenda huyo X wake. Mpaka leo nimeona maneno mengine ya mahaba.

Najikuta naumia kwanini alikubali kuolewa na Mimi ili Hali Moyo wake Bado unampenda X wake.

Nawaza na kuwazua sikupenda kuoa na kuacha Ila changamoto hii ya kuwa na Mke ambae ametunza picha za X wake na Mawasiliano na mashemeji, naona Kama ipo siku atarudi kwa X wake. Au Tuta shere(Magonjwa mengi ya zinaa).

Naomba ushauri wako, ndugu Yangu.
Ukweli mchungu,ni kuwa wanawake huolewa na waliotayari kuoa,sio wale wanaowapenda,Sasa unakuta,aliyekuwa anampenda,hayupo tayari kuoa,Sasa inabidi mdada alikubalie jamaa ambalo lipo tayari na miundombinu ya ndoa,Sasa matokeo yake ndio haya,x anakuwa anamisiwa hatari,hata mzigo atapewa,hapa kumbuka mdada haogopi kushika mimba,maana SI yupo kwenye ndoa,
Ukiona manyoya,JUA ameishaliwa,sas hapo kazi kwako kusuka au kunyoa
 
Dawa ya moto ni moto…..tunazima moto kwa kuwasha moto…..sasa unafikiri mwanamke utamtuliza kwa kufanya nini,,akili kwenye kichwa….
 
Wewe hadi umeoa basi unaakili timamu.

unasema unampenda mkeo basi zidisha upendo ipo siku ataacha hayo mambo mkuu.

Ndoa sio mchezo mkuu...kuoa na kuacha unajitia GUNDU tu....

Tuliza akili itulie huwenda pia anakupima IQ yako inauwezo wa namna gani katika kufikilia.....ACHANA NA MHEMKO
Huu ni utumbo bora wa mwenzi june
 
Mambo.

Mi Ni mwanaume mimeoa muda si mrefu Sana, nampenda mke wangu, lakini changamoto ninazoziona hata raha ya ndoa siioni. Tatizo ninaloliona kwa mke wangu Kwanza Ni Mawasiliano na Mashemeji zake na Mkwe wa X wake.

Hili Jambo nimejaribu kumueleza aliache naona Mawasiliano yapo vile vile. Nimegundua Jambo lingine ana Account ya Social network ina picha Nyingi alizopiga na X wake, na ameandika maneno mengi ya mahaba kumuhusu huyo X wake anavyompenda. Kiukweli nimeumia kwa kuwa nampenda.

Hiyo account ipo active anaitumia Mara kwa Mara kuandika maneno ya mahaba anavyompenda huyo X wake. Mpaka leo nimeona maneno mengine ya mahaba.

Najikuta naumia kwanini alikubali kuolewa na Mimi ili Hali Moyo wake Bado unampenda X wake.

Nawaza na kuwazua sikupenda kuoa na kuacha Ila changamoto hii ya kuwa na Mke ambae ametunza picha za X wake na Mawasiliano na mashemeji, naona Kama ipo siku atarudi kwa X wake. Au Tuta shere(Magonjwa mengi ya zinaa).

Naomba ushauri wako, ndugu Yangu.
Achana naye Bado mapema kabisa huyo...wewe ndio uliyempenda na ndio maana ukatangaza ndoa harakaharaka ila wewe Wala haupo moyoni mwake...anampenda huyo x na pengine hata hawakuwa wameachana ila ulidanganywa
 
Acha uzwazwa, ndoa ipo na talaka ipo, anakusumbua akili, mpige chini, kwani ulizaliwa nae huyo? Au ndio oxygen yako kwamba ukimuacha utakufa!?

Usiwe pimbi, mwanaume vitu vingine hupasqi kulalamika lalamika mzee.
 
Mambo.

Mi Ni mwanaume mimeoa muda si mrefu Sana, nampenda mke wangu, lakini changamoto ninazoziona hata raha ya ndoa siioni. Tatizo ninaloliona kwa mke wangu Kwanza Ni Mawasiliano na Mashemeji zake na Mkwe wa X wake.

Hili Jambo nimejaribu kumueleza aliache naona Mawasiliano yapo vile vile. Nimegundua Jambo lingine ana Account ya Social network ina picha Nyingi alizopiga na X wake, na ameandika maneno mengi ya mahaba kumuhusu huyo X wake anavyompenda. Kiukweli nimeumia kwa kuwa nampenda.

Hiyo account ipo active anaitumia Mara kwa Mara kuandika maneno ya mahaba anavyompenda huyo X wake. Mpaka leo nimeona maneno mengine ya mahaba.

Najikuta naumia kwanini alikubali kuolewa na Mimi ili Hali Moyo wake Bado unampenda X wake.

Nawaza na kuwazua sikupenda kuoa na kuacha Ila changamoto hii ya kuwa na Mke ambae ametunza picha za X wake na Mawasiliano na mashemeji, naona Kama ipo siku atarudi kwa X wake. Au Tuta shere(Magonjwa mengi ya zinaa).

Naomba ushauri wako, ndugu Yangu.
Hahaha....aisee sasa kwani akitombwer na ex wake wee inakuhusu nini mzeya? Mbususu sii yake
 
Sawa sasa uzoefu wangu unaniambia hivi......
1. Huyo mkeo alikubali kuolewa na wewe kwasababu alihitaji harusi na sio ndoa.
2. Inavyo onekana mkeo bado anaupendo wa dhati kwa X wake na bado anamatarajio na mipango flani ya mbeleni kwenye familia ya X wake.
3. Kwa mtazamo wangu mimi huyo sio mke wako, bali unaishi na mke wa mtu.
4. Ulijikuta unaoa mwanamke ulie mpenda pasipo kujipa nafasi ya kumjua vizuri.
5. Nahisi unamadhaifu flani kwa mkeo na tayari amesha yagundua.

Ushauri wangu ni:-
Ingekua mimi ndio wewe, baada ya kupata ushahidi ulio jitosheleza wala nisinge hangaika kutafuta ushauri na nisinge waza mara mbili, bali ninge mpiga chini pasipo kujali maumivu yangu ama yake. Baada ya hapo ningezima masikio kwa maneno na mashambulizi yoote ambayo ningetupiwa na ndugu jamaa na marafiki.
Na mwisho kabisa nisinge kubali ushauri wa aina yeyote kutoka kwa mtu yeyote kwasababu hakuna kati yao ambae angenisaidia kuyabeba maumivu ambayo nimeyapata.
Mwisho kabisa, dalili ya mvua ni mawingu walisema wahenga.

Mzee una maushauri mazuri sana heko
 
Usimlaum kwanini anachati nao, hujampa strict terms & conditions za ndoa yenu. Hilo picha litaisha tu hiyo ndoa ni changa unatakiwa usimame kama kichwa kulitatua hili usikimbie..mtengeneze mkeo awe vile utakavyo akisuasua make plan B. Usipalilie hii kitu itatanua moyo wako. Wake up man
 
Wewe hadi umeoa basi unaakili timamu.

unasema unampenda mkeo basi zidisha upendo ipo siku ataacha hayo mambo mkuu.

Ndoa sio mchezo mkuu...kuoa na kuacha unajitia GUNDU tu....

Tuliza akili itulie huwenda pia anakupima IQ yako inauwezo wa namna gani katika kufikilia.....ACHANA NA MHEMKO

Watu wenye fikra kama zako sijawahi waelewa
 
Back
Top Bottom