Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,071
- 6,753
Kubali tu umeshafanya kosa kuoa na ndoa ya pili (ambayo ni ya kwanza)inakuita. Achilia mbali huyo umemkuta ana X wake wapo wanaoa wake ambao hawajaungana kiroho na kihisia yaani hawawezi dumu kabisa. Utakita umeoa mwanamke bikra lakini hajali kuhusu mdoa yake, mkigombana kuondoka kwake ni chaap na hajutiii mkiwa mbali akiona maisha yamempiga (hasa kama ana mtoto/watoto mlozaa) anaomba msamaha ila sio mapenzi.
Wa hivi yakupasa muachane mapema utafute mnayeendana vinginevyo utakifa pressure.
Wa hivi yakupasa muachane mapema utafute mnayeendana vinginevyo utakifa pressure.