Mke wangu ana Mawasiliano na Mkwe na Mashemeji wa X wake. Pia ana account ya Social Network ambayo ameniblock siwezi kuiona anachoweka huko

Unajua kina sisi tukiolewa ma x wetu wanajipendekeza sana, mwanamke usipo kuwa na msimamo unarudiana na x wako, kwanza Kama huyo x wake alimpenda mbona hakumuoa ?kwakuwa kaolewa ndo mahaba yanazidi kwa x.
Tunachezaga na akili za baadhi ya wanawake,yaani mimi ex kukutaka wakati umeshaolewa,inamaanisha najua kasoro zako ambazo zilifanya nisikuoe,hayo unayosema mahaba baada ya kuolewa,siyo mahaba,bali nataka nikulale tu,urudi kwa boya wako.Ukitaka kuamini,achika kwa huyo mwanaume wako aliyeingia king akakuoa,uje useme nioe,uone kama ntakuoa.Baadhi ya wanawake ni wajinga pro.
 
Kabisaa yaani....utashangaa mwanamke ni mke wa mtu lakini ni mchepuko wa x wake ....ogopa Sana x anayekutaka Baada ya kuolewa na mara nyingi hiki huwa ni kikwazo kigumu Sana kwa mwanamke kukiruka.... Matokeo yake anayakoroga huko kwa Mme na x anamkimbia anabaki kuita wanaume wote mbwa......
 
Ohooo mwana mbona unaangamia kwa kukosa maarifa. Chunguza ukijiridhisha hayo unayoo ongea yako sawa.

Mpe onyo namwambie kabisa onyo lako lina idadi let say 3 tunaanza na onyo la kwanza futa number ya X wako, usiwasiliane nae, futa picha , kata mawasiliano na ndugu zake, sitaki ujinga na connection ya aina yoyote na huyo bwege na mengineyo unayoona yanakukwaza onyo number 1.

Naumwambie kabisa hili ni onyo lakwanza kwako. Hakusikia mpe nafasi nyengine second Chance kama mwanamke mwenye akili zake na anabusara na anakupenda kwa dhati ataacha mara moja kabla hata ya second chance akirudia mpaka unampa 3 chance nasemaje piga chini maana utakuwa ushajua unadeal na mtu wa aina gani.

Faida utakayopata

1.Kwanza utajua yakwamba uliye naye sio chaguo sahihi na hastahili kuwa mama watoto wako.

2.Utapata relief ya Moyo na nafsi na kufanya maamuzi yaliyo sahihi.

Kila la heri mkuu katika swala la ndoa hushauriwi kufanya maamuzi ya haraka hivyo kwa hayo mawili hapo juu moyo wako utapokea na nafsi itamtapika tahadhari usiharakishe bila ya kujiridhisha na kamwe hautojuta kwa ulicho fanya.
 
Mambo.

Mi Ni mwanaume mimeoa muda si mrefu Sana, nampenda mke wangu, lakini changamoto ninazoziona hata raha ya ndoa siioni. Tatizo ninaloliona kwa mke wangu Kwanza Ni Mawasiliano na Mashemeji zake na Mkwe wa X wake.

Hili Jambo nimejaribu kumueleza aliache naona Mawasiliano yapo vile vile. Nimegundua Jambo lingine ana Account ya Social network ina picha Nyingi alizopiga na X wake, na ameandika maneno mengi ya mahaba kumuhusu huyo X wake anavyompenda. Kiukweli nimeumia kwa kuwa nampenda.

Hiyo account ipo active anaitumia Mara kwa Mara kuandika maneno ya mahaba anavyompenda huyo X wake. Mpaka leo nimeona maneno mengine ya mahaba.

Najikuta naumia kwanini alikubali kuolewa na Mimi ili Hali Moyo wake Bado unampenda X wake.

Nawaza na kuwazua sikupenda kuoa na kuacha Ila changamoto hii ya kuwa na Mke ambae ametunza picha za X wake na Mawasiliano na mashemeji, naona Kama ipo siku atarudi kwa X wake. Au Tuta shere(Magonjwa mengi ya zinaa).

Naomba ushauri wako, ndugu Yangu.
Itakuwa aliingia kwenye ndoa na wewe wakati walipovurugana na huyo X wake,na alifanya hivi kukubali kuolewa na wewe kwa mantiki ya kumkomoa huyo x wake,hali ya kuwa bado yupo moyoni kwake,alipaswa atulie kwanza then ndo afanye maamuzi ya kuwa na wewe,si ajabu wakati munaanza mahusiano yenu,kutwa ulikuwa unapostiwa na maneno ya mahaba kama yote,lkn haikuwa kwa sababu anakupenda sana , ilikuwa kumchoma roho huyo x wake.kuwa makini umeyakanyaga.🤣🤣🤣
 
Huyo Mke wako alikuwa anataka tukio la harusi na sio ndoa. Mpotezee tu huyo ana mambo mengi na anaweza kukusababishia magonjwa na stress zitakazokuvuruga na kuharibu maisha yako. Mpe mkono wa bye bye 👋
 
ushaur
Wewe hadi umeoa basi unaakili timamu.

unasema unampenda mkeo basi zidisha upendo ipo siku ataacha hayo mambo mkuu.

Ndoa sio mchezo mkuu...kuoa na kuacha unajitia GUNDU tu....

Tuliza akili itulie huwenda pia anakupima IQ yako inauwezo wa namna gani katika kufikilia.....ACHANA NA MHEMKO
Ushauri wa kijinga kabisa
 
Sawa sasa uzoefu wangu unaniambia hivi......
1. Huyo mkeo alikubali kuolewa na wewe kwasababu alihitaji harusi na sio ndoa.
2. Inavyo onekana mkeo bado anaupendo wa dhati kwa X wake na bado anamatarajio na mipango flani ya mbeleni kwenye familia ya X wake.
3. Kwa mtazamo wangu mimi huyo sio mke wako, bali unaishi na mke wa mtu.
4. Ulijikuta unaoa mwanamke ulie mpenda pasipo kujipa nafasi ya kumjua vizuri.
5. Nahisi unamadhaifu flani kwa mkeo na tayari amesha yagundua.

Ushauri wangu ni:-
Ingekua mimi ndio wewe, baada ya kupata ushahidi ulio jitosheleza wala nisinge hangaika kutafuta ushauri na nisinge waza mara mbili, bali ninge mpiga chini pasipo kujali maumivu yangu ama yake. Baada ya hapo ningezima masikio kwa maneno na mashambulizi yoote ambayo ningetupiwa na ndugu jamaa na marafiki.
Na mwisho kabisa nisinge kubali ushauri wa aina yeyote kutoka kwa mtu yeyote kwasababu hakuna kati yao ambae angenisaidia kuyabeba maumivu ambayo nimeyapata.
Mwisho kabisa, dalili ya mvua ni mawingu walisema wahenga.
👍
 
Ushauri

Ushauri Bora kabisa ..kama asipofuata huu ushauri basi .mwache aendeleee kuteseka..!!
 
Mambo.

Mi Ni mwanaume mimeoa muda si mrefu Sana, nampenda mke wangu, lakini changamoto ninazoziona hata raha ya ndoa siioni. Tatizo ninaloliona kwa mke wangu Kwanza Ni Mawasiliano na Mashemeji zake na Mkwe wa X wake.

Hili Jambo nimejaribu kumueleza aliache naona Mawasiliano yapo vile vile. Nimegundua Jambo lingine ana Account ya Social network ina picha Nyingi alizopiga na X wake, na ameandika maneno mengi ya mahaba kumuhusu huyo X wake anavyompenda. Kiukweli nimeumia kwa kuwa nampenda.

Hiyo account ipo active anaitumia Mara kwa Mara kuandika maneno ya mahaba anavyompenda huyo X wake. Mpaka leo nimeona maneno mengine ya mahaba.

Najikuta naumia kwanini alikubali kuolewa na Mimi ili Hali Moyo wake Bado unampenda X wake.

Nawaza na kuwazua sikupenda kuoa na kuacha Ila changamoto hii ya kuwa na Mke ambae ametunza picha za X wake na Mawasiliano na mashemeji, naona Kama ipo siku atarudi kwa X wake. Au Tuta shere(Magonjwa mengi ya zinaa).

Naomba ushauri wako, ndugu Yangu.
Piga chini haraka sana. Ukiendelea kusikilizia moyo wako wakati akili inakwambia umekumbatia bomu utakonda utakufa mapema au utachelewa sana. Moyo umeumbwa kusukuma damu achana na sijui nampenda sana nampenda sana wakato yeye anampenda ex wake wewe ni option ya mwisho
 
1.Mpe ruhusa aende kwa mpenzi wake,kwa kumwambia mke wangu nataka ukamsalimie mama au nataka utafute mahali popote uende uka refresh.

atafurahia kwasababu utakua umempa ruhusa hiyo angali akijua ndio chance yake ya kwenda kunyukwa na x wake (wewe wala usijali)

2.Akiwa huko endelea kuwasiliana nae kwa msg ila sio sana wasiliana nae anapokutafuta tu na usimuanze akikaa kimya kaa kimya,mpe uhuru afanye uchafu wake wote huko huko.

Akiridhika atakwambia anataka kurudi nyumbani, "usimruhusu" mwambie aendelee kukaa arefresh na wewe unahtaji kurefresh ukiwa peke ako, day 1 ataelewa ataona raha tu,wewe muache huko huko atatfuliwa weee...mwishowe watachokana.

akirudi akisema mume wangu natka kurudi nyumbani,Mkatalie mwambie wewe bado una refresh,akijifanya kumind kuingiza topic za wanawake/michepuko,nk

Nenda kwenye acc ya social media anayotumia na x wake comment wapongeze wamependeza,halafu rudi huku kwenye majibizano yenu mwambie nmekutumia ujumbe kwenye picha yenu.

Akiwa huko huko mlipulie bomu lake na umwambie ndio ishaisha yani.
 
Sawa sasa uzoefu wangu unaniambia hivi......
1. Huyo mkeo alikubali kuolewa na wewe kwasababu alihitaji harusi na sio ndoa.
2. Inavyo onekana mkeo bado anaupendo wa dhati kwa X wake na bado anamatarajio na mipango flani ya mbeleni kwenye familia ya X wake.
3. Kwa mtazamo wangu mimi huyo sio mke wako, bali unaishi na mke wa mtu.
4. Ulijikuta unaoa mwanamke ulie mpenda pasipo kujipa nafasi ya kumjua vizuri.
5. Nahisi unamadhaifu flani kwa mkeo na tayari amesha yagundua.

Ushauri wangu ni:-
Ingekua mimi ndio wewe, baada ya kupata ushahidi ulio jitosheleza wala nisinge hangaika kutafuta ushauri na nisinge waza mara mbili, bali ninge mpiga chini pasipo kujali maumivu yangu ama yake. Baada ya hapo ningezima masikio kwa maneno na mashambulizi yoote ambayo ningetupiwa na ndugu jamaa na marafiki.
Na mwisho kabisa nisinge kubali ushauri wa aina yeyote kutoka kwa mtu yeyote kwasababu hakuna kati yao ambae angenisaidia kuyabeba maumivu ambayo nimeyapata.
Mwisho kabisa, dalili ya mvua ni mawingu walisema wahenga.
uishi milele kaka Avatar mbaya akili na roho safi nakuunga hoja asilimia 100 una akili sana
 
Mambo.

Mi Ni mwanaume mimeoa muda si mrefu Sana, nampenda mke wangu, lakini changamoto ninazoziona hata raha ya ndoa siioni. Tatizo ninaloliona kwa mke wangu Kwanza Ni Mawasiliano na Mashemeji zake na Mkwe wa X wake.

Hili Jambo nimejaribu kumueleza aliache naona Mawasiliano yapo vile vile. Nimegundua Jambo lingine ana Account ya Social network ina picha Nyingi alizopiga na X wake, na ameandika maneno mengi ya mahaba kumuhusu huyo X wake anavyompenda. Kiukweli nimeumia kwa kuwa nampenda.

Hiyo account ipo active anaitumia Mara kwa Mara kuandika maneno ya mahaba anavyompenda huyo X wake. Mpaka leo nimeona maneno mengine ya mahaba.

Najikuta naumia kwanini alikubali kuolewa na Mimi ili Hali Moyo wake Bado unampenda X wake.

Nawaza na kuwazua sikupenda kuoa na kuacha Ila changamoto hii ya kuwa na Mke ambae ametunza picha za X wake na Mawasiliano na mashemeji, naona Kama ipo siku atarudi kwa X wake. Au Tuta shere(Magonjwa mengi ya zinaa).

Naomba ushauri wako, ndugu Yangu.
Piga chin huyoo kabla hajakuuua In short umeoa make wa mtu
 
Back
Top Bottom