Duh..... mrudishe Kwa wazazi alafu kata mawasiliano kwa muda usiojulikana ila pia save hizo pic zake Ili wazazi wake wakikujia juu unaonyesha evidence.Hapana
Je mke kakuzidi kipato?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh..... mrudishe Kwa wazazi alafu kata mawasiliano kwa muda usiojulikana ila pia save hizo pic zake Ili wazazi wake wakikujia juu unaonyesha evidence.Hapana
Usimwambie atakuonyesha fake love.Hapana boss mi mfanya biashara.. sijataka kumuonyesha mke wangu Mali zangu zote Wala account zangu zote. juzi nimeingiza 26m sijataka hata kumwambia.
You are a simp. You have lost your frame.Mambo.
Mi Ni mwanaume mimeoa muda si mrefu Sana, nampenda mke wangu, lakini changamoto ninazoziona hata raha ya ndoa siioni.
Tatizo ninaloliona kwa mke wangu Kwanza Ni Mawasiliano na Mashemeji zake na Mkwe wa X wake.
Hili Jambo nimejaribu kumueleza aliache naona Mawasiliano yapo vile vile. Nimegundua Jambo lingine ana Account ya Social network ina picha Nyingi alizopiga na X wake, na ameandika maneno mengi ya mahaba kumuhusu huyo X wake anavyompenda. Kiukweli nimeumia kwa kuwa nampenda. Hiyo account ipo active anaitumia Mara kwa Mara kuandika maneno ya mahaba anavyompenda huyo X wake. Mpaka leo nimeona maneno mengine ya mahaba.
Najikuta naumia kwanini alikubali kuolewa na Mimi ili Hali Moyo wake Bado unampenda X wake.
Nawaza na kuwazua sikupenda kuoa na kuacha Ila changamoto hii ya kuwa na Mke ambae ametunza picha za X wake na Mawasiliano na mashemeji, naona Kama ipo siku atarudi kwa X wake. Au Tuta shere(Magonjwa mengi ya zinaa)
Naomba ushauri wako, ndugu Yangu.
Nakuunga mkono. Halafu utakuta huyu jamaa alishaona dalili mapema ila akajifanya shujaa wa mapenzi.Umeowa mke wa mtu mrejeshe kwa mmiliki wake.
Ndugu Ushimen umemaliza kila kitu.Sawa sasa uzoefu wangu unaniambia hivi......
1. Huyo mkeo alikubali kuolewa na wewe kwasababu alihitaji harusi na sio ndoa.
2. Inavyo onekana mkeo bado anaupendo wa dhati kwa X wake na bado anamatarajio na mipango flani ya mbeleni kwenye familia ya X wake.
3. Kwa mtazamo wangu mimi huyo sio mke wako, bali unaishi na mke wa mtu.
4. Ulijikuta unaoa mwanamke ulie mpenda pasipo kujipa nafasi ya kumjua vizuri.
5. Nahisi unamadhaifu flani kwa mkeo na tayari amesha yagundua.
Ushauri wangu ni:-
Ingekua mimi ndio wewe, baada ya kupata ushahidi ulio jitosheleza wala nisinge hangaika kutafuta ushauri na nisinge waza mara mbili, bali ninge mpiga chini pasipo kujali maumivu yangu ama yake. Baada ya hapo ningezima masikio kwa maneno na mashambulizi yoote ambayo ningetupiwa na ndugu jamaa na marafiki.
Na mwisho kabisa nisinge kubali ushauri wa aina yeyote kutoka kwa mtu yeyote kwasababu hakuna kati yao ambae angenisaidia kuyabeba maumivu ambayo nimeyapata.
Mwisho kabisa, dalili ya mvua ni mawingu walisema wahenga.
Mkwe ni Baba/Mama wa mke wa X.Mambo.
Mi Ni mwanaume mimeoa muda si mrefu Sana, nampenda mke wangu, lakini changamoto ninazoziona hata raha ya ndoa siioni. Tatizo ninaloliona kwa mke wangu Kwanza Ni Mawasiliano na Mashemeji zake na Mkwe wa X wake.
Hili Jambo nimejaribu kumueleza aliache naona Mawasiliano yapo vile vile. Nimegundua Jambo lingine ana Account ya Social network ina picha Nyingi alizopiga na X wake, na ameandika maneno mengi ya mahaba kumuhusu huyo X wake anavyompenda. Kiukweli nimeumia kwa kuwa nampenda.
Hiyo account ipo active anaitumia Mara kwa Mara kuandika maneno ya mahaba anavyompenda huyo X wake. Mpaka leo nimeona maneno mengine ya mahaba.
Najikuta naumia kwanini alikubali kuolewa na Mimi ili Hali Moyo wake Bado unampenda X wake.
Nawaza na kuwazua sikupenda kuoa na kuacha Ila changamoto hii ya kuwa na Mke ambae ametunza picha za X wake na Mawasiliano na mashemeji, naona Kama ipo siku atarudi kwa X wake. Au Tuta shere(Magonjwa mengi ya zinaa).
Naomba ushauri wako, ndugu Yangu.
Oya we mleta uzi mimi sina cha kuongezea hapa... Jamaa ameshamaliza mjadala [emoji419]Sawa sasa uzoefu wangu unaniambia hivi......
1. Huyo mkeo alikubali kuolewa na wewe kwasababu alihitaji harusi na sio ndoa.
2. Inavyo onekana mkeo bado anaupendo wa dhati kwa X wake na bado anamatarajio na mipango flani ya mbeleni kwenye familia ya X wake.
3. Kwa mtazamo wangu mimi huyo sio mke wako, bali unaishi na mke wa mtu.
4. Ulijikuta unaoa mwanamke ulie mpenda pasipo kujipa nafasi ya kumjua vizuri.
5. Nahisi unamadhaifu flani kwa mkeo na tayari amesha yagundua.
Ushauri wangu ni:-
Ingekua mimi ndio wewe, baada ya kupata ushahidi ulio jitosheleza wala nisinge hangaika kutafuta ushauri na nisinge waza mara mbili, bali ninge mpiga chini pasipo kujali maumivu yangu ama yake. Baada ya hapo ningezima masikio kwa maneno na mashambulizi yoote ambayo ningetupiwa na ndugu jamaa na marafiki.
Na mwisho kabisa nisinge kubali ushauri wa aina yeyote kutoka kwa mtu yeyote kwasababu hakuna kati yao ambae angenisaidia kuyabeba maumivu ambayo nimeyapata.
Mwisho kabisa, dalili ya mvua ni mawingu walisema wahenga.
Mambo.