Mke wangu ana tabia za wizi na udokozi

Pole, kama huwezi kumwambia mtafutie kazi ashike pesa zake
 
Siri za mkeo sio za kuleta hapa
 
Ukiwa unampa pesa hawezi kudokoa, na ukiwa unamuonyesha hizi pesa kazi yake hii hawezi dokoa, sasa unaacha buku 2 halafu wallet Ina 70,000/
 
Anakupa sehemu ya MIWILI wake KUINGIZA sehemu ya MIWILI wako Ili ukae vyema kiafya ya kiakili.......na unavyojua kabisa wanawake wengi hawana vitega uchum. Tena walioko kwenye NDOA , kwanini kipato unachopata isiwe unampatia kama 100,000Tsh una mpa 40,000Tsh


Wewe unabaki na 60,000


Mhhhh
 


We upo kwenye NDOA unakuwaje na pesa yako? Ubinafsi
 
Kiufupi tu mkeo ni mwizi. Tabia ya wizi haikubali popote pale. Kwanini asiombe kama anashida na hela?
Kuwa makini
Mwizi were kwahiyo elf 15 anaenda kujenga kwao angekuwa anampa angedokoa nini sasa! Wanawake tuna vitu vingi vyakununua
 
Si mkeo? Wanaume wengine wagumu kutoa pesa mpaka uwaibie.
Shida ya nyinyi wanawake huchukulia maisha ni rahisi mno.
Unaona pesa tayari unaiba ila kumbuka maisha ya mwanamke kiuchumi yanamtegemea mwanaume kwa 100%.
Kuna kuumwa ghafla mtu, kuna ada ya mtoto/watoto, kuna chakula unabidi kila siku ule, kuna mahitaji madogo madogo yanahitajika kila siku kwahiyo ukiona kuna laki 2 ipo kwenye wallet ukamuomba akakunyima ujue ina kazi yake.
Ushafikiria kwanini wanaume wengine wakimfumania mkewe, wanaua?
 
Anza kumpa pesa atunze mbona Jambo jepesi Tu unarudi na lki unampa mke wangu nitunzie hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…