Mke wangu ana tabia za wizi na udokozi

Nimesikia wengine wakijadili kwenye upenu wa nyumba ninayoishi....ati wakipewa pesa ya kununua kuku....wananunua paja la kuku mtaani wanampikia mume tu maana waume zao hutoka alfajiri hurudi usiku.....then wao na watoto wao watapika maharage au mboga nyasi....pesa nyingine kikoba☹️
 
Mwizi were kwahiyo elf 15 anaenda kujenga kwao angekuwa anampa angedokoa nini sasa! Wanawake Tina vitu vingi vyakununua
Hiyo 15 ungeomba. Tatizo lenu huchukulia maisha ni rahisi sana.
Sisi wanaume tunafikiria maisha mpaka mwaka 2027, ukiona hela kwenye wallet ujue ina matumizi.
Kuna kula, kulipa umeme, maji, ukiumwa wewe, mwanamke hadi hela ya kwenda kwao kusalimia unamlipia, zawadi za mama yake unampa, bado ndugu wa mwanaume wanamtegemea hiyo yote ni hela inahitajika.
Ushajiuliza kwanini wanaume wengine wakiwafumania wake zao wanaua?
Upo hapo maisha yako unamtegemea mwanaume kwa 100% halafu bado unamuibia? Ngoja apate mwanamke nje anayejua nini maana ya maisha ya uaminifu ili baadae uwaite wanaume ni mbwa.
Mimi mwanamke mwizi simtaki maana nikipata mali nyingi ataniua
 
Bora wakwako, wakwangu ni muongo kupindukia..Kila kitu hudanganya alafu anategemea kuendelea kuwepo ktk ndoa😂😂...wababa tukiwa wakali sana midude hugeeuka hekalu la kudanganya
 
Eti mdokozi , yaani hata kama akimpa elfu 20 mwanamke anajielewa atashukuru na kujuà atapewa tena siku nyingine, lakini yeye anamtega mkewe aone kama ataiba, maajabu haya!
 
Hata was nje ukimuoa tu utaona afadhali yule uliyemwacha, ukimwambia hii pesa yanini sizani kama atadokoa , labda hao wavaa share za vijora kila wiki
 
Hivyo vikoba anavyofanya,,bila mume kushirikishwa,,,hujui hapo kwa hamna upendo wowote,,,ndo maana anafanya mambo bila kushirikiana na mume?
Wanawake baadhi kwenye ndoa wako mguu mmoja ndani mwingine nje, kuwa makini usije siku ukalazimika kulipa madeni makubwa ambayo hutajua pesa zimetumikaje.
 
Hata was nje ukimuoa tu utaona afadhali yule uliyemwacha, ukimwambia hii pesa yanini sizani kama atadokoa , labda hao wavaa share za vijora kila wiki
Mngekuwa mnajua majukumu tuliyonayo wanaume msingekuwa mnatamani kuiba hata shilingi 100.
Kuolewa ni zaidi ya ajira
 
Mbona ishu ndogo sana, kama baba ongea na mkeo vizuri, acha hela ya kutosha
 
Anzia hapo uchunguzi mwingine, ukiona shida hiyo inaendelea basi hilo litakuwa tatizo la kudum, na hapo utaamua mwenyewe kuendelea nae au hapana
 
Nachukua. Ni pesa ya mume wangu, mimi na yeye ni mwili mmoja
Halafu pesa yako ni yako kwasababu ni mwili mmoja.
Ndiyo maana wanaume wengine wakifumania ni halali waue tu.
Umuibie hela halafu ukatoe penzi kwa mtu mwingine ni haki aue tu
 
Halafu pesa yako ni yako kwasababu ni mwili mmoja.
Ndiyo maana wanaume wengine wakifumania ni halali waue tu.
Umuibie hela halafu ukatoe penzi kwa mtu mwingine ni haki aue tu
Unachanganya mambo, tunaongea kuhusu pesa.

Kwahiyo una maanisha mkeo akiwa anajiweza kiuchumi anajihudumia mwenyewe mambo yake ukimfumania utachekelea?
 
Mke anaruhusiwa kuchukua hela ya mume wake especially kama mume hatoi matumizi au anatoa kidogo haitoshi. Ila mke haruhusiwi kuchukua zaidi ya mahitaji. Hii ni kwa mujibu wa dini ya kiislamu.

Kwa hivyo mtoa mada mpe mkeo hela ya matumizi inayotosha. Na ikibidi mpatie na extra ya kwake labda hana.

Ila kama unampa za kutosha na bado anachukua basi hiyo ni shida
 
Unachanganya mambo, tunaongea kuhusu pesa.

Kwahiyo una maanisha mkeo akiwa anajiweza kiuchumi anajihudumia mwenyewe mambo yake ukimfumania utachekelea?
Hakuna mwanamke aliyeolewa anajiweza kiuchumi.
Mwanamke anayefanya kazi bank kama manager ameolewa na mwalimu bado atahitaji matunzo yote sawa na mwanamke ambaye hana kazi
 
Una mfumo dume hapo nyumbani kwako. Hivi kama ungekuwa unampa fursa ya kumiliki hela angekuwa na hiyo tabia? Hapo ukute mama tangu umekuwa naye hajawahi kubaki na chenji mkononi. Halafu utakuwa li-pagan maana mafundisho ya dini yanasema mkishaoana mnakuwa mwili mmoja! Kwa maana hiyo chako-chake, chake-chako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…