Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Umenitupa haswa mi nipo tuUmepotea sana mama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenitupa haswa mi nipo tuUmepotea sana mama
Nimesikitika sana kuona wanafurahia kutoa 60,000 kwa mwezi.Ukiona baba wa mtoto anajivunia kulea mtoto kwa kutumia waraka wa elfu60 jua hamna mwanaume hapo
Huyo ni binadamu mwenye uume tuu
Wanaume wenye uwanaume kama hawako sawa financially hata nguvu za kutia mimba huwa hawana. Ila wale wavulana sasa🏃♀️🏃♀️🏃♀️
MrangiHiyo ya mkewe pia siyo yake
Endeleeni kushauriana kuua tu
Watu tunazitafuta na hatuzipati
Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
Hela ya mtoto mama ake atajua mwenyeweHebu pigia maziwa ya mtoto,nguo za mtoto,dawa,sukari,mama hajala pia
Kwani wakati anatoa hizo manii alifikiri anawamiminia sanitaiza?Wakuu
Jamaa angu kaniaomba ushauri hapa, ana mchepuko wake una mimba ya miezi mitatu na wife wake nae leo kamwambia ana mimba ya mwezi mmoja.
Yeye amepanga kuwaambia wote watoe hizo mimba.
Me nimemshauri amuache wife wake azae ila mchepuko utoe tu.
Nyie mnampa ushauri gani huyu raia?
Ni "rate" ya serikali hiyo; sio "rate" yangu. Labda Serikali tukufu, kupitia Ustawi wa Jamii; ndio wapige hizo hesabu.Hebu pigia maziwa ya mtoto,nguo za mtoto,dawa,sukari,mama hajala pia