Mke wangu ana ujauzito wa mwezi mmoja, mchepuko ana ujauzito wa miezi mitatu

Mke wangu ana ujauzito wa mwezi mmoja, mchepuko ana ujauzito wa miezi mitatu

Ukiona baba wa mtoto anajivunia kulea mtoto kwa kutumia waraka wa elfu60 jua hamna mwanaume hapo

Huyo ni binadamu mwenye uume tuu

Wanaume wenye uwanaume kama hawako sawa financially hata nguvu za kutia mimba huwa hawana. Ila wale wavulana sasa🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
Nimesikitika sana kuona wanafurahia kutoa 60,000 kwa mwezi.
 
Wakuu

Jamaa angu kaniaomba ushauri hapa, ana mchepuko wake una mimba ya miezi mitatu na wife wake nae leo kamwambia ana mimba ya mwezi mmoja.

Yeye amepanga kuwaambia wote watoe hizo mimba.

Me nimemshauri amuache wife wake azae ila mchepuko utoe tu.

Nyie mnampa ushauri gani huyu raia?
Kwani wakati anatoa hizo manii alifikiri anawamiminia sanitaiza?

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Nawashangaa sana wale wanaopenda kukojolea ndani alafu wanakataa mimba pumbavu zao ngoja siku ya mwisho mtachomwa moto mpk mkome
 
Hiyo ni neema kwake.

Wasitoe waache hao watoto watakua tu kwa nguvu za Allah.

Miaka hiyo nilizaa August 8 na mchepuko wa baba yenu alizaa August 2 the same year na wote girls.

Niliposikia nilipaniki nikafunga na virago lakini maisha yaliendelea.

Mtie moyo huwezi jua mmoja atakuwa Samia mwingine Barack Obama,
 
Wakati anakojoa hakujua matunda ni watoto?

Ajiandae kuwalea.

Na mpe hongera kwa kuharibu ndoa yake
 
Back
Top Bottom