mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Yaani umeongea bonge la point. Kwa hiyo tuishi na wake zetu kwa akili sio vimada au wadangaji.
Kweli wanaume tunao zini na wanawake hatuna akili kabisa which means wanawake nao wanao zaa na mwanaume huyo wasitegemee mazuri maana wamekubali kuzaa na mwanaume ambaye hana akili.
Two wrongs dont make a right.
Tatizo linaanza siku nyingi ndio Mwenyezi Mungu hapa akasema na wanaume hapa akawaambia....
Mithali 6: 32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake
Na Mungu alijua akawatahadharisha wanaume watumie akili zao. Mungu anajua mwanaume mwenye kutumia akili ana uwezo wa kuzuia maafa na kukaribisha baraka, Ila siku hizi wanaume wengi sio wote, sijui hawana akili au hawataki kutumia akili🤣🤣🤣
Hata Mungu anawashangaa