Mke wangu ana ujauzito wa mwezi mmoja, mchepuko ana ujauzito wa miezi mitatu

Mke wangu ana ujauzito wa mwezi mmoja, mchepuko ana ujauzito wa miezi mitatu

Wakuu
Jamaa angu kaniaomba ushauri hapa,ana mchepuko wake una mimba ya miezi mitatu na wife wake nae leo kamwambia ana mimba ya mwezi mmoja.
Yeye amepanga kuwaambia wote watoe hizo mimba.
Me nimemshauri amuache wife wake azae ila mchepuko utoe tu.
Nyie mnampa ushauri gani huyu raia?
Awaache tu wote wazae. Ila aandae tu bajeti ya watoto kwenda shule bada ya miaka minne hivi; bajeti ya kula huwa sio tatizo. Shule nyingi za primary siku hizi ziko kwenye 2M kwa mwaka. Kwa watoto 2; ni 4M; ataweza tu.
 
Mimi 2019 niligombana na wife nikajitenga kdg huko nikatembeza mashine na kujikuta nina mimba tano tofaut nimetegeshewa wote kumbe wanalia gape ile nafasi ya wife
Ghafla wife nae akanambia ana mimba nilichoka
Atlast nilitoa tatu(Mungu anisamehe) wawili wakagoma katakata
Nikarudiana na wife akazaa nikamweleza kuhusu mimba hizo mbili akaelewa life likasonga
Wale madem walioamua kuzaa walijua me na wife over walichoka wakabaki kutishia kumwambia bila kujua anajua tayali
Walitarajia kupata matumizi makubwa nimefata walaka wa serikali namna ya kuhudumia mtoto wa nje wamechoka akili
Mkuu hebu urushe huo waraka wa serikali hapa, kwa faida ya wengi hapa JF.
 
Shemeji yangu aliachiwa mke wa rafiki yake awe anamsaidia wakati mume amekwenda kusoma Ulaya. Yule mama alikua na kila kitu ila hakujua kuendesha gari. Kila Jumamosi shemeji alimpleleka shopping.

Kutahamaki shemeji anamimba, nyumbani house girl ana mimba na mkewe ana mimba.

House girl alifukuzwa kazi na mke, alikomaa ofisini kwa jamaa akimwambia harudi kwao kwani alitoka kwao akiwa bikra. Ilibidi jamaa atafute chumba.
Fungua Uzi mkuu
 
Wakuu
Jamaa angu kaniaomba ushauri hapa,ana mchepuko wake una mimba ya miezi mitatu na wife wake nae leo kamwambia ana mimba ya mwezi mmoja.
Yeye amepanga kuwaambia wote watoe hizo mimba.
Me nimemshauri amuache wife wake azae ila mchepuko utoe tu.
Nyie mnampa ushauri gani huyu raia?
Hapo ndio anatakiwa kuonysha uanaume wake, sio anatia tu mimba halafu majukumu anakimbia, he should be responsible for his own actions
 
Kwani unapostarehe bila kuchukua tahadhari unakuwa unategemea nini sijui mivulana mingine ikoje,yaani unakuta limtu halitaki mtoto lakini halichukui tahadhari yoyote
Hahahahhaha sasa taadhari anaetakiwa kuchukua ni mwanaume au wewe mwenye goli? We unajua leo upo kwenye siku zako unapeleka K bila kujali! Kwanini usimpelekee baharia siku ukimaliza bleed tu?
 
Shemeji yangu aliachiwa mke wa rafiki yake awe anamsaidia wakati mume amekwenda kusoma Ulaya. Yule mama alikua na kila kitu ila hakujua kuendesha gari. Kila Jumamosi shemeji alimpleleka shopping.

Kutahamaki shemeji anamimba, nyumbani house girl ana mimba na mkewe ana mimba.

House girl alifukuzwa kazi na mke, alikomaa ofisini kwa jamaa akimwambia harudi kwao kwani alitoka kwao akiwa bikra. Ilibidi jamaa atafute chumba.
Duuh
 
Ningetoa mimba leo hii nisingekuwa baba. Mwanangu ana miez 6 sasa kila nikimwona alivyo na afya alivo na furaha bhs najipiga ngumi kifuani nasema mimi ni kidume manake kafanana na mimi kila kitu[emoji28][emoji28]
 
Awaache tu wote wazae. Ila aandae tu bajeti ya watoto kwenda shule bada ya miaka minne hivi; bajeti ya kula huwa sio tatizo. Shule nyingi za primary siku hizi ziko kwenye 2M kwa mwaka. Kwa watoto 2; ni 4M; ataweza tu.
Hahahaha 4M kwa mwaka wakati shule za laki kwa mwaka zipo kibao tu😅!

Acheni kujitwisha mizigo isio na maana afterall watoto wenyewe watakuja kuwa wauza mishkaki barabarani😅
 
Hahahaha 4M kwa mwaka wakati shule za laki kwa mwaka zipo kibao tu[emoji28]!

Acheni kujitwisha mizigo isio na maana afterall watoto wenyewe watakuja kuwa wauza mishkaki barabarani[emoji28]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Wote mnatakiwa kuchukua tahadhari hasa wewe mwanaume usotaka mtoto,ukiwa huwezi kuchukua tahadhari jiandae na matokeo
Sasa mie ndio nina mfuko wa uzazi au wewe? Why wanawake mnakwepa kuwa responsible? Katika wanawake niliokuwa nao ni mmoja tu ndio alikuwa keen kujua siku zake wengine wote ni mpaka niwahesabie mzunguko mimi😅

Yeye anajua kutawanya miguu tu
 
Back
Top Bottom