Mke wangu ana ujauzito wa mwezi mmoja, mchepuko ana ujauzito wa miezi mitatu

Mke wangu ana ujauzito wa mwezi mmoja, mchepuko ana ujauzito wa miezi mitatu

Mimi 2019 niligombana na wife nikajitenga kdg huko nikatembeza mashine na kujikuta nina mimba tano tofaut nimetegeshewa wote kumbe wanalia gape ile nafasi ya wife
Ghafla wife nae akanambia ana mimba nilichoka
Atlast nilitoa tatu(Mungu anisamehe) wawili wakagoma katakata
Nikarudiana na wife akazaa nikamweleza kuhusu mimba hizo mbili akaelewa life likasonga
Wale madem walioamua kuzaa walijua me na wife over walichoka wakabaki kutishia kumwambia bila kujua anajua tayali
Walitarajia kupata matumizi makubwa nimefata walaka wa serikali namna ya kuhudumia mtoto wa nje wamechoka akili
legendary!
 
Zaeni Elimu Ni Bure Ndugu Zangu

Hata China Na India Zimeendelea Sababu Ya Idadi Ya Watu
By Mzilankende
 
Mimi 2019 niligombana na wife nikajitenga kdg huko nikatembeza mashine na kujikuta nina mimba tano tofaut nimetegeshewa wote kumbe wanalia gape ile nafasi ya wife
Ghafla wife nae akanambia ana mimba nilichoka
Atlast nilitoa tatu(Mungu anisamehe) wawili wakagoma katakata
Nikarudiana na wife akazaa nikamweleza kuhusu mimba hizo mbili akaelewa life likasonga
Wale madem walioamua kuzaa walijua me na wife over walichoka wakabaki kutishia kumwambia bila kujua anajua tayali
Walitarajia kupata matumizi makubwa nimefata walaka wa serikali namna ya kuhudumia mtoto wa nje wamechoka akili
Dah..nchi ina vijana wa ...sana 😂😂😂
 
Ikifika kiongozi atavuna alichopanda kwenye mashamba yote. Mwambie ajipige kifua na ajisemee moyoni yeye ni mkulima bora
 
Sasa mie ndio nina mfuko wa uzazi au wewe? Why wanawake mnakwepa kuwa responsible? Katika wanawake niliokuwa nao ni mmoja tu ndio alikuwa keen kujua siku zake wengine wote ni mpaka niwahesabie mzunguko mimi[emoji28]

Yeye anajua kutawanya miguu tu
Labda hao wake zako sie wengine pamoja na wenzi wetu tunajua wajibu wetu
 
Mbona hakuna tatizo lolote kama kuna pesa aisee. Kinachosababisha headache ni pale ambapo huna pesa ndipo mwanamke atakuzingua. Ila kama una mkwanja mwanamke mbona atakaa kimya kama hakijatokea kitu.
 
Ata
Wakuu
Jamaa angu kaniaomba ushauri hapa,ana mchepuko wake una mimba ya miezi mitatu na wife wake nae leo kamwambia ana mimba ya mwezi mmoja.
Yeye amepanga kuwaambia wote watoe hizo mimba.
Me nimemshauri amuache wife wake azae ila mchepuko utoe tu.
Nyie mnampa ushauri gani huyu raia?
Watoe mimba kwanini!!.
mwambie aache uoga
 
Awaache tu wote wazae. Ila aandae tu bajeti ya watoto kwenda shule bada ya miaka minne hivi; bajeti ya kula huwa sio tatizo. Shule nyingi za primary siku hizi ziko kwenye 2M kwa mwaka. Kwa watoto 2; ni 4M; ataweza tu.
Eenh tatizo sio kula wala kuvaa kasheshe wakianza shule ***** hakuna rangi utaacha ona....
 
Wakuu
Jamaa angu kaniaomba ushauri hapa,ana mchepuko wake una mimba ya miezi mitatu na wife wake nae leo kamwambia ana mimba ya mwezi mmoja.
Yeye amepanga kuwaambia wote watoe hizo mimba.
Me nimemshauri amuache wife wake azae ila mchepuko utoe tu.
Nyie mnampa ushauri gani huyu raia?

Eti wote watoe mimba.... muuwaji kweli jamaa yako!! Mxiuuuuu

Kama ameamua kuwa rijali kama Yakobo na Suleiman Mwambie aongeze na kwa housegirl, kisha kila mmoja amuwekee housegirl wake na kila housegirl ahakikishe anazaa nae.

Wenzie kina Yakobo na Suleiman hawajawahi waambia wanawake wao watoe mimba. Mwanaume hutaki mimba na huwezi jizuia wa kujikinga fanya vasektomi mimba ikishaingia hakuna option zaidi ya kuzaa

Apambambane kiume walau ajitengenezee kabila6 za uzao wake ndani ya 2022

Apambane kiume
 
Kwani unapostarehe bila kuchukua tahadhari unakuwa unategemea nini sijui mivulana mingine ikoje,yaani unakuta limtu halitaki mtoto lakini halichukui tahadhari yoyote

Wanataka wachukue tahadhari wanawake tu
 
Wakuu
Jamaa angu kaniaomba ushauri hapa,ana mchepuko wake una mimba ya miezi mitatu na wife wake nae leo kamwambia ana mimba ya mwezi mmoja.
Yeye amepanga kuwaambia wote watoe hizo mimba.
Me nimemshauri amuache wife wake azae ila mchepuko utoe tu.
Nyie mnampa ushauri gani huyu raia?
Home and Away.... dadeeeeki. Ndo maana kondom zinakosa soko
 
Back
Top Bottom