Mke wangu ana ujauzito wa mwezi mmoja, mchepuko ana ujauzito wa miezi mitatu

Nimesikitika sana kuona wanafurahia kutoa 60,000 kwa mwezi.
 
Kwani wakati anatoa hizo manii alifikiri anawamiminia sanitaiza?

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Hebu pigia maziwa ya mtoto,nguo za mtoto,dawa,sukari,mama hajala pia
Ni "rate" ya serikali hiyo; sio "rate" yangu. Labda Serikali tukufu, kupitia Ustawi wa Jamii; ndio wapige hizo hesabu.
 
Nawashangaa sana wale wanaopenda kukojolea ndani alafu wanakataa mimba pumbavu zao ngoja siku ya mwisho mtachomwa moto mpk mkome
 
Hiyo ni neema kwake.

Wasitoe waache hao watoto watakua tu kwa nguvu za Allah.

Miaka hiyo nilizaa August 8 na mchepuko wa baba yenu alizaa August 2 the same year na wote girls.

Niliposikia nilipaniki nikafunga na virago lakini maisha yaliendelea.

Mtie moyo huwezi jua mmoja atakuwa Samia mwingine Barack Obama,
 
Wakati anakojoa hakujua matunda ni watoto?

Ajiandae kuwalea.

Na mpe hongera kwa kuharibu ndoa yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…