Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Si ndio.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kama anaona ni rahisi eboh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si ndio.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kama anaona ni rahisi eboh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vumilia tu Mkuu sababu sidhani kama anapenda kuwa hivyo.
Na hapo hajaanza kutamani chipsi zinazouzwa masafa ya mbali.
Anajilegeza! Wanashauriwa wafanye kazi ndogo ndogo ili kuupa Mwili mazoezi la sivyo watapata Tabu wakati wa kuzaa!Hivi wadau ni sawa kwa mwanamke mwenye mimba ya mwezi mmoja kuanza uvivu na kuumwa umwa!!
Naona mwanamke wangu ananiletea vipengele sana yaani tangu tujue ana mimba basi kazi zote za ndani ndio hawezi tena….hapiki hafui hadeki…vitu vyote hivyo nafanya mimi. Mara ajitapishe mara aseme anasikia kizunguzungu mara agome kula.
Yaani ni kama wiki mbili sasa lakini nimeshanyooka. Game nanyimwa kwa kisingizio kuwa anajisikia vibaya
Ni kweli inakuwa ivi sometimes au ndio nanyooshwa!!?
Kuna kitu kinaitwa "first trimester"Hivi wadau ni sawa kwa mwanamke mwenye mimba ya mwezi mmoja kuanza uvivu na kuumwa umwa!!
Naona mwanamke wangu ananiletea vipengele sana yaani tangu tujue ana mimba basi kazi zote za ndani ndio hawezi tena….hapiki hafui hadeki…vitu vyote hivyo nafanya mimi. Mara ajitapishe mara aseme anasikia kizunguzungu mara agome kula.
Yaani ni kama wiki mbili sasa lakini nimeshanyooka. Game nanyimwa kwa kisingizio kuwa anajisikia vibaya
Ni kweli inakuwa ivi sometimes au ndio nanyooshwa!!?
Pole sanaMimi nimefanyiwa visanga vingi mno... Lakini ujauzito umetoka wenyewe ukiwa na miezi 4...imeniuma mno
Mbona wakienda kuishi na wazazi wao hizo mambo hakuna
Tena amtafute mzuri kuliko mkeweMkuu, Wacha kulialia, tafuta mdada wa kazi