Mke wangu ana ujauzito wa mwezi mmoja tuu lakini nanyooka

Mke wangu ana ujauzito wa mwezi mmoja tuu lakini nanyooka

Vumilia tu Mkuu sababu sidhani kama anapenda kuwa hivyo.

Na hapo hajaanza kutamani chipsi zinazouzwa masafa ya mbali.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi wadau ni sawa kwa mwanamke mwenye mimba ya mwezi mmoja kuanza uvivu na kuumwa umwa!!

Naona mwanamke wangu ananiletea vipengele sana yaani tangu tujue ana mimba basi kazi zote za ndani ndio hawezi tena….hapiki hafui hadeki…vitu vyote hivyo nafanya mimi. Mara ajitapishe mara aseme anasikia kizunguzungu mara agome kula.

Yaani ni kama wiki mbili sasa lakini nimeshanyooka. Game nanyimwa kwa kisingizio kuwa anajisikia vibaya

Ni kweli inakuwa ivi sometimes au ndio nanyooshwa!!?
Anajilegeza! Wanashauriwa wafanye kazi ndogo ndogo ili kuupa Mwili mazoezi la sivyo watapata Tabu wakati wa kuzaa!
Muambie Shem achangamke na aache uvivu!
Ni Kwa faida yake.
 
Chepuka, akili zake zitakaa sawa akiona huna mpango nayo
 
Ni mapokeo tu!

Akipata elimu sahihi kuwa ujauzito si ugonjwa ni jambo la Neema na Neema hiyo inapaswa kuwa Baraka kwa familia nzima badala ya kuwa mtu wa nongwa atabadilika kabisa!
 
Ujauzito sio ugonjwa.

Ni utaratibu Mungu ameweka wa jinsi ya kuzaliwa mtoto.

Ni tabia mbaya kuwa na nongwa wakati wa ujauzito ewe mama ukiwa na mimba basi mumeo unamuweka under stress, family member wengine nao vivyo hivyo , Kwanini?

Si sawa.
 
Wengine Eti wanakuwa na hali ya kumchukia mumewe na watu wengine! [emoji848][emoji848]

Yani Mwenyezi Mungu akupe Neema ya ujauzito halafu ijengeke chuki juu ya Mpenzi wako?

Hapana tukatae mapokeo !

Au kununanuna na visirani kama vyote!

Mimba ni Baraka mwanamke unapaswa kufanyika Baraka kwa family members na kwa mumeo Mpenzi wako,

Jiweke kwenye mtazamo chanya.

Kataaa chuki, uvivu, visirani, nongwa n.k
 
Hata kula vitu visivyofaa kama vile udongo, sabuni, mkaa, cement, harufu mbaya ya choo kuona inamfaa n.k

Yote hayo ni aina ya mapokeo Na hayafai [emoji108][emoji108]

Unajua Kwanini sayansi inakataza mama mjamzito kunywa pombe?

Tafakari.
 
Hivi wadau ni sawa kwa mwanamke mwenye mimba ya mwezi mmoja kuanza uvivu na kuumwa umwa!!

Naona mwanamke wangu ananiletea vipengele sana yaani tangu tujue ana mimba basi kazi zote za ndani ndio hawezi tena….hapiki hafui hadeki…vitu vyote hivyo nafanya mimi. Mara ajitapishe mara aseme anasikia kizunguzungu mara agome kula.

Yaani ni kama wiki mbili sasa lakini nimeshanyooka. Game nanyimwa kwa kisingizio kuwa anajisikia vibaya

Ni kweli inakuwa ivi sometimes au ndio nanyooshwa!!?
Kuna kitu kinaitwa "first trimester"
Miezi ya kwanza mitatu wanna wake huangaika kiaina. Baada ya hapo atatulia
 
Hajitapishi wala mimba changa inamateso sana kwa kwel mpaka miezi minne anaweza pata nafuu ikifika tena saba shughuli inarudi
 
Mbona wakienda kuishi na wazazi wao hizo mambo hakuna

Si ndio hapo sasa utakapojua kuwa huwa wanafanya Kwa makusudi na mapokeo! [emoji3][emoji3]

Yani umesema kweli kabisa!

Wengine hawaishi nongwa na visilani.

Yani akiwa na mimba basi kwenye nyumba watu wote wanaipata flesh hadi ajitue!
 
Mwezi mmoja tu balaa hivo hio miezi ijayo mbona utahama ndani??
Atazaa dume huyo!!
 
Back
Top Bottom