Mke Wangu Ana UKIMWI Mimi Sina, Je Nifanye Nini?

Al
Wakuu
Wiki iliyopita nilienda kupima ngoma a.k.a umeme mimi pamoja na mke wangu,cha kushangaza mke wangu akagundulika na maambukizi mimi sina.

mke wangu akaanzishiwa ARV mala moja,kisha tukarudi home, ila kuanzia siku hiyo naogopa kufanya nae tendo la ndoa kwani naamini ataniambukiza pia.

nifanye nini ili niendelee kuishi na mke wangu,tumejaaliwa kupata watoto7.

nimechanganyikiwa.
Aliutoa wapi? Piga chini h u yo
 
20250303_230244.jpg
 
Wakuu
Wiki iliyopita nilienda kupima ngoma a.k.a umeme mimi pamoja na mke wangu,cha kushangaza mke wangu akagundulika na maambukizi mimi sina.

mke wangu akaanzishiwa ARV mala moja,kisha tukarudi home, ila kuanzia siku hiyo naogopa kufanya nae tendo la ndoa kwani naamini ataniambukiza pia.

nifanye nini ili niendelee kuishi na mke wangu,tumejaaliwa kupata watoto7.

nimechanganyikiwa.
Ulisema Mke wako amegoma kukupa tendo la ndoa
 
Mara ulishikwa ugoni leo mkeo ana ukimwi.Hivi mnalipwa watu waache kuzungumzia nchi
View attachment 3268899
kama hayo matatizo yananipata,unataka nisiyalete hapa mkuu? Niogope kuwa jana nimeleta uzi nimekamatwa leo nimeleta tukio la mke wangu anaukimwi baada ya vipimo vya wiki mbili zilizopita. Je kosa langu lipi hapo?
 
Wandugu hili jambo lipo. Wapo ambao wameishi na waathirika na hawajaambukizwa. Sema ukishajua unaingia hofu. Kinachotakiwa ni kuanza kutumia kinga na tahadhari ili uishi nae kwa amani.
 
Wakuu
Wiki iliyopita nilienda kupima ngoma a.k.a umeme mimi pamoja na mke wangu,cha kushangaza mke wangu akagundulika na maambukizi mimi sina.

mke wangu akaanzishiwa ARV mala moja,kisha tukarudi home, ila kuanzia siku hiyo naogopa kufanya nae tendo la ndoa kwani naamini ataniambukiza pia.

nifanye nini ili niendelee kuishi na mke wangu,tumejaaliwa kupata watoto7.

nimechanganyikiwa.
Habari !

Ni kweli kuwa inawezekana ikatokea mmoja wa mwenza katika ndoa au mahusiano kuwa na maambukizi (seropositive) na mwingine akawa negative. Kitaalamu hii inaitwa discordant couples.
Na habari njema ni kuwa kuna mamia kama sio maelfu ya discordant couples kwenye mahusiano hata ndoa pasipo maambukizi kwenda kwa mweza aliye negative ama kwa watoto watakaozaliwa kama masharti ya kitaalamu yakifuatwa.

Kwanza, mwenza aliyeambukizwa anatakiwa kuanza dawa za kufubaza virusi (ARV) mapema iwezekanavyo mpaka itakapothibitika kuwa kiasi cha virusi mwilini kiko chini kuweza kusababisha maambukizi ( undetectable viral load). Hii inaweza kufikiwa ndani ya miezi miwili mpaka sita kama ARV zitatumiwa ipasavyo. Kipindi chote hicho utashauriwa kutumia kinga na hata baada ya kuthibitika kuwa mwenza wako amefikia hali salama ( undetectable viral load), utashauriwa kutumia dawa za kujikinga na maambukizi Pre-Exposure Prophylaxis PreP kipindi chote cha mahusiano.

Utaratibu huu unafanana kidogo na mama mwenye maambuzi akizaa na kunyonyesha mtoto asiye na maambukizi.

Nikutakie siku njema
 
Wandugu hili jambo lipo. Wapo ambao wameishi na waathirika na hawajaambukizwa. Sema ukishajua unaingia hofu. Kinachotakiwa ni kuanza kutumia kinga na tahadhari ili uishi nae kwa amani.
jambo hili linahitaji roho ngumu ndipo uishi na mtu wa namna hii vinginevyo ni kufukuza tu. Au kama unajiamini na upo tyr kuambukizwa mkuu. Kila nikiangalia pete yangu ya ndoa,na nikiwaza kumfukuza nakuta kuna kitu kinaniambia "muache uliapa mpaka kifo shida na raha" naishia kusonya tu
 
Wakuu
Wiki iliyopita nilienda kupima ngoma a.k.a umeme mimi pamoja na mke wangu,cha kushangaza mke wangu akagundulika na maambukizi mimi sina.

mke wangu akaanzishiwa ARV mala moja,kisha tukarudi home, ila kuanzia siku hiyo naogopa kufanya nae tendo la ndoa kwani naamini ataniambukiza pia.

nifanye nini ili niendelee kuishi na mke wangu,tumejaaliwa kupata watoto7.

nimechanganyikiwa.
Achana na ushauri kwanza vipi alipata pata vipi ?
 
Chai hii.

Hata hujamuuliza atoe maelezo mahsusi kaupataje halafu unakuja huku.

Kusema kwamba unauliza ufanye nini.
 
Wakuu
Wiki iliyopita nilienda kupima ngoma a.k.a umeme mimi pamoja na mke wangu,cha kushangaza mke wangu akagundulika na maambukizi mimi sina.

mke wangu akaanzishiwa ARV mala moja,kisha tukarudi home, ila kuanzia siku hiyo naogopa kufanya nae tendo la ndoa kwani naamini ataniambukiza pia.

nifanye nini ili niendelee kuishi na mke wangu,tumejaaliwa kupata watoto7.

nimechanganyikiwa.
Hehehehehehehehehehehehehehehehe!!!
Dah! Hivi vichekesho kweli!!!
 
Wakuu
Wiki iliyopita nilienda kupima ngoma a.k.a umeme mimi pamoja na mke wangu,cha kushangaza mke wangu akagundulika na maambukizi mimi sina.

mke wangu akaanzishiwa ARV mala moja,kisha tukarudi home, ila kuanzia siku hiyo naogopa kufanya nae tendo la ndoa kwani naamini ataniambukiza pia.

nifanye nini ili niendelee kuishi na mke wangu,tumejaaliwa kupata watoto7.

nimechanganyikiwa.
Huna kazi ya kufanya mpaka uandike upupu usio na kichwa wala miguu. Tafuta kazi ya kufanya.
 
Back
Top Bottom