Mke wangu anachat na li mtu wanaitana "MY"

Hakuna kitu,mimi huwa nachat na wadada kadhaa na wanatumia My....nakupa hi My........My umekula.......My wikiendi vipi........Ok My mbona kimya.Hizo ni vibwagizo tuu wanaongezea kunogesha cheatchat tuuu
 
mliooa/mnaooa endeleeni kuishi kwa matumaini.
 
Huu ndio wakati wa mwanaume kusimamia ndoa yake kwa Akili sana kiukweli hakuna kanuni ya kuishi na mwanamke zaidi ya kuishi nae kwa akili tu.Tabia nyemelezi za uchepukaji ni kama hizo hivyo mkuu fanya ile kazi kazi tuliyoagizwa na Mungu ya kumsimamia mkeo kwa akili.Kuwa straight kwenye kukemea tabia zozote hatarishi ila hilo litachagizwa vizuri na rekodi yako safi ya Ndoa.
 
Nikuulize jina gani kam save huyo mtu mimi wifi yangu ananiitaga my
 
Kama ni work mates, inaweza isiwe issue sana. Huwa "tunataniana" sana!
 
Kama huyo anaechat nae ni mwanaume, hakuna nia njema kati yao, nakushauri kemea tabia hiyo mapema.
 
(My=wangu) ooouuhhh...Moyo sukuma damu[emoji15] ila usipanic muulize kwa ustadi na hekima mambo yatajileta yenyewe tuu...Barnaba ana ngoma yake inaitwa Wahalade itasaidia your scenario
 
Kutokewa na jambo moja hakuzuii kutokewa na jambo lingine hilo jambo ni la mda sana mke wangu alikuwa mjamzito na sasa tuna mtoto mmoja nae. SOMA POST YA MWAKA GANI.
Actions are reaction. Ulikua unalia lia anataka kugongwa kila siku na wewe huwezi unahitaji kupumzika. Guess what, alipata suluhisho. Women always want 100% kwako alikua anapata 70% kaenda kujazia 30% kwa "MY"
 
Achana nae huyo ameshakusaliti. Jiongeze na ww mbona mademu bomba kibao tu ukizingatia hali hii ngumu ya maisha braza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…