Lavan Island
JF-Expert Member
- Oct 24, 2015
- 2,377
- 2,048
Mkeo atakuwa ana chart na analiwa na shoga tu hakuna kingine maana mwanamke mbele ya shoga hapindui.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiuwashe mkuu utakuwakia ,wewe piga mzigo kama dozi mpaka iume,hapo hawezi kulipa lile jamaa maana itakuwa inawaka moto.Kama huwez hilo,dah jamaa litakusaidia,myAisee huwa naichunia simu ya mke wangu kwa kuogopa bp na pia namuamini maana ana kautulivu kimuonekano na maisha tulioishi hajawahi kuniletea mazombie mpaka yanitishe na kuhisi sio mwaminifu sasa leo week end nipo kitandani nimeshika simu yake aisee kucheki video za whatsapp nikajikuta nimeingia inbox yake Kuna li mtu anachat nalo linaonesha linamcare huku linamuita "My" na yeye anajibu na neno "My".HAPA NILIPO NIMESHAPANIC JAPOKUWA WANASALIMIANA TU NA KUTAKIANA CHAKULA CHEMA ILA KIMENISHANGAZA HICHO KIBWAGIZO CHAO CHA KUITANA "MY" Nataka niuwashe moto maana sijaelewa kabisa hiyo term "My".
Naogopa kuianzisha hii vita kabla sijajua wenzangu hii issue mnaichukuliaje maana nisije itwa Complicator wa term kumbe ni term ya kawaida tu.
NATAKA USHAURI SIO MATUSI.
Kuna bikra aina mbili ujueNdio nilimkuta bikra
Toa ufafanuzi una share vp?Pole mkuu, wewe share tu whatsapp ya mke wako kwenye laptop yako, mrudishie simu yake umemaliza mchezo
Kuna uzi humu wa jinsi ya kusoma whatsapp kwny cmu yako au laptop.Mi nimeumia we furahi tu
Hilo jamaa linalo muita mkeo "my" ni mchele point yangu ipo hapoSijaelewa
umetibua kinyama mkuuMY means Mali Yangu