Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
[emoji23] [emoji31]umetibua kinyama mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji31]umetibua kinyama mkuu
Nipo my kwema hukoMy mambo?upo?[emoji1]
Hamn na mshauri akemee hilo pepo linalotaka kuingilia ndoa yake hapan dalili nzur hapo maan hili neno MY kwa kusema linatumiwa na wanawake napat ukakasi kidogo neno hili huwa linatumiwa na k kwenda kwa m au m kwenda kwa kKwa ukhuty unamshauri avumilie.?
Akemee tu... Wewe umeolewa?.. Samahani kama nimetumia lugha kaliHamn na mshauri akemee hilo pepo linalotaka kuingilia ndoa yake hapan dalili nzur hapo maan hili neno MY kwa kusema linatumiwa na wanawake napat ukakasi kidogo neno hili huwa linatumiwa na k kwenda kwa m au m kwenda kwa k
Eeeee nimelowa mkuuAkemee tu... Wewe umeolewa?.. Samahani kama nimetumia lugha kali
He hee sawa my....Sawa my elo o vi ee
Sawa nimekuelewaEeeee nimelowa mkuu
Washa Moto.Aisee huwa naichunia simu ya mke wangu kwa kuogopa bp na pia namuamini maana ana kautulivu kimuonekano na maisha tulioishi hajawahi kuniletea mazombie mpaka yanitishe na kuhisi sio mwaminifu sasa leo week end nipo kitandani nimeshika simu yake aisee kucheki video za whatsapp nikajikuta nimeingia inbox yake Kuna li mtu anachat nalo linaonesha linamcare huku linamuita "My" na yeye anajibu na neno "My".HAPA NILIPO NIMESHAPANIC JAPOKUWA WANASALIMIANA TU NA KUTAKIANA CHAKULA CHEMA ILA KIMENISHANGAZA HICHO KIBWAGIZO CHAO CHA KUITANA "MY" Nataka niuwashe moto maana sijaelewa kabisa hiyo term "My".
Naogopa kuianzisha hii vita kabla sijajua wenzangu hii issue mnaichukuliaje maana nisije itwa Complicator wa term kumbe ni term ya kawaida tu.
NATAKA USHAURI SIO MATUSI.
Kumbe ni wewe Tina unaemsumbua jamaa [emoji3] [emoji3] [emoji3]He hee sawa my....
Jamaa kaamua kusumbuka mwenyewe bana[emoji85]Kumbe ni wewe Tina unaemsumbua jamaa [emoji3] [emoji3] [emoji3]
My=wangu lazima magegedo yahusike hapo blaza
Kaka mchochezi nakusabahi tu