Mke wangu anachelewa sana kurudi nyumbani anasema akitoka kazini anaenda kwenye maombi

Habari za jioni nimekuwa kwenye ndoa yangu yenye miaka 2 lakini miezi ya ivi karibuni mke wangu amekuwa akichelewa sana kurudi nyumbani akidai anaenda kwenye maombi mara baada ya kazi napata mashaka na hii kauli yake? sijui anachoenda kuomba kila nikimwambia twende wote maombi anasema wanaume hawaruhusiwi inawezana kweli?

Naombei ushauri ili nimwingize kwenye 18 zangu!!!!
Huyo mkeo ulipewa au ulimchukua
 
Manhood inaperish kwa kasi ya 6G.
Kuna vitu anatakiwa avijue kuwa ni non-negotiable.
Jitaidi uwe kiongozi wa hiyo Familia sio kivuli
 
Yeye avumilie tu bana kwaio tusiombee waume zetu🙄 hamtaki walokole mnataka kina nani😁
Wanawake wa kipendwa ( so called walokole ) wengi wanafiki, wanaishi maisha ya gizani.. Bora umchukue ambae hana hizo pigo
 
Manhood inaperish kwa kasi ya 6G.
Kuna vitu anatakiwa avijue kuwa ni non-negotiable.
Jitaidi uwe kiongozi wa hiyo Familia sio kivuli
Kauli ni moja, ukienda huko nisokuone umerudi pitiliza huko huko.
 
Kwahiyo walokole tumekuudhi nini😢
Wewe hujaniudhi. Ila wadada ambao wanavaa ulokole makanisani, na hawaja acha njia zao mbovu ni hatari sanaa. ( wanatumia ulokole kuficha makucha na uovu wao )
 
Mi niliacha ila sikuhizi nmerudia hizo njia unazozipinga, ila baada ya maandmaano ntaziacha usijali😅
 
Kutaka haki yako sio kosa. Nilisha date na mlokole wa machozi na kushinda kazini, kube ni alikuwa anatiw kweli kweli kanisani na member wa hilo kanisa.. Ujue walokole wanaenda makanisani wana background mbovu mbovu, sio wote baada ya kufika wana dhamiria kuacha, wengi ndio inakuwa cover ya maovu yao.. ila wanaendelea nayo kimya kimya
 
Habari za jioni nimekuwa kwenye ndoa yangu yenye miaka 2 lakini miezi ya ivi karibuni mke wangu amekuwa akichelewa sana kurudi nyumbani akidai anaenda kwenye maombi mara baada ya kazi napata mashaka na hii kauli yake? sijui anachoenda kuomba kila nikimwambia twende wote maombi anasema wanaume hawaruhusiwi inawezana kweli?

Naombei ushauri ili nimwingize kwenye 18 zangu!!!!
Kwisha
 
M
Kutaka haki yako sio kosa. Nilisha date na mlokole wa machozi na kushinda kazini, kube ni alikuwa anatiw kweli kweli kanisani na member wa hilo kanisa.. Ujue walokole wanaenda makanisani wana background mbovu mbovu, sio wote baada ya kufika wana dhamiria kuacha, wengi ndio inakuwa cover ya maovu yao.. ila wanaendelea nayo kimya kimya
Mie ulevi tu ndio utanitesa ila sio ub@@ kwakweli..! Kuchosha tu sehemu za private!😢
 
Ulevi nafuu, dhambi ya uboho mbaya ( neno lasema adhinie huungana roho yake na ambae ana dhini nae ( kahaba ) ) mnakuwa roho moja. Na mtu azinia neno lasema hana akili kabisa, afanya jambo laweza angamiza nafsi yake.. Ulevi, siki nikija huko.. tutaenda zetu kale ka sehemu kako pembeni ya the mziki hadi saa moja asubuhi ila baada ya kumtoa nduri😅😅🙏
 
Back
Top Bottom