Mke wangu anachelewa sana kurudi nyumbani anasema akitoka kazini anaenda kwenye maombi

Kidogo ipigwe kibiriti sahizi naiogopa!!
🥴🥴 alafu si wana ihusisha na Mh JK Kikwete, labda ndio maana. Nilikuwa napenda sana kufikia hapo aroudn 2021 na 2022. So twende wapi sasa maMtu .. ah mziki kwanza 😅.. Tunza huwa pananoga jumapili
 
Yani unakimuhe muhe cha kujipongeza na bado hatujamalizana na nchi!
 
Tugangane moyo kwanza maMtu. Mda huu ni wa kuponyana. Siasa na mambo yake tuyaache kwanza. Maana Mh Rais ameisha apishwa na katiba yetu ilivyo hatuwezi pinga, so tumuachie Mungu amalizie tulipo ishia. Ila ukisema unakwaruzana na serikali sasa hivi ujie unaitafuta ubaya

Dahh kwakweli…😰
 
Dahh kwakweli…😰
Sitaki tena Siasa maMtu.
Nimeona vifo live, nimeona maiti zimezagaaa. Moyo wangu unahitaji kuponywa na akili yangu hadi ikae sawa. But for now hapana.
 
Mwenyewe nimekoswakoswa bomu sina hamu! Moyo unavuja damu tu hapa💔🥺
 
Habari za jioni nimekuwa kwenye ndoa yangu yenye miaka 2 lakini miezi ya ivi karibuni mke wangu amekuwa akichelewa sana kurudi nyumbani akidai anaenda kwenye maombi mara baada ya kazi napata mashaka na hii kauli yake? sijui anachoenda kuomba kila nikimwambia twende wote maombi anasema wanaume hawaruhusiwi inawezana kweli?

Naombei ushauri ili nimwingize kwenye 18 zangu!!!!
Ndoa ni makubaliano kati yenu. Nyie mikubaliana nini kuhusu ibada

Mume ni kichwa kiongozi kiongozi wa mke kma Kristo alivyo kichwa kwa kanisa. Wewe unamuongoza vipi katika kumtafuta Mungu

Usipofanya majukumu yako wewe mwenyewe nyoka atakusaidia kufanya
 
Back
Top Bottom