Habari za jioni nimekuwa kwenye ndoa yangu yenye miaka 2 lakini miezi ya ivi karibuni mke wangu amekuwa akichelewa sana kurudi nyumbani akidai anaenda kwenye maombi mara baada ya kazi napata mashaka na hii kauli yake? sijui anachoenda kuomba kila nikimwambia twende wote maombi anasema wanaume hawaruhusiwi inawezana kweli?
Naombei ushauri ili nimwingize kwenye 18 zangu!!!!
Habari yako!!
Pole na majukumu,sijajua ndoa yako ina umri gani.ila fata hatua zifuatazo.
Kaa na mke wako chini mwambie kuwa hupendi tabia yake hiyo na hifuraishwi nayo.
Usikubali akushinde hoja weka msimamo wa kiume, aking'ang'ania omba namba za wachungaji na wasaidizi wa huko kanisani.
Ukiona bado hali haijabadilika.
Usioneshe kuchukizwa na tabia hiyo kuwa na furaha usilalamike sana kuwa mtulivu..
Anza kufatilia nyendo zake taratibu zipo njia nyingi.hakikisha una furaha asishuke.
Ukitaka ufanikiwe usiwe na papara na wala usitake haraka.
Utagundua kila kitu.
NB;
Wanawake wanajua kabisa kwamba hakuna mwanaume anapenda kuoa mwanamke wa ajabu na mwenye past mbovu.
Ndiomaana utasikia stuffs like,
"Nitulie niache ujinga sasa niolewe"
Halisemwagi kwa wasi wasi ni wanajua nini wanafanya, so akiwa na tabia mbovu kwa wakati fulani jua kabisa kuna vitu anakua anapambania kwa wakati huo.
Hicho kitu sitokitaja hapa maana mnajua.
Ila akitaka kuolewa atajituliza na wajinga wataingia kwenye mifumo yake automatically.
Sasa mwanaume unaekua umependa mwanamke kwa wakati ambao bado anapiga umalaya unakua na akili gani?
Be care unapotaka kumuweka mwanamke moyoni.
Past yake ni muhimu sana kabla ya kufanya commitment ya moja kwa moja.