Mke wangu anadai ana ujauzito wangu lakini kwenye kadi la clinic kaweka jina la mtu mwingine!

MTU ISIPOMFAA AKILI YAKE BASI UTAMDHURU UJINGA WAKE.,

A WORD IS ENEOGH FOR THE WISE!
 
Asa we hapo huoni umeliwa? au mkuu umefukiziwa?
 
daaah nina hasira mnooo
Nimeshindwa hata kutoa maoni
 
Umeanza lini kuacha kumuamini mkeo! Sasa we ulitakaje? Si mlishakubaliana,mtavumiliana...Au ndoa imeanza kukushinda utaachika shauri yako.
 
Tangu lini mtoto wako akapewa jina la mjomba wa mke wako ?
 
Mkeo kivipi hapo
 
Usikubali
 
Ulio au uliozeshwa?
Tafakari chukua hatua acha uboya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…