KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
MTU ISIPOMFAA AKILI YAKE BASI UTAMDHURU UJINGA WAKE.,
A WORD IS ENEOGH FOR THE WISE!
A WORD IS ENEOGH FOR THE WISE!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mke wangu anadai anaujauzito wangu lakini kwenye kadi la clinic kaweka jina la mtu mwingine!
Ukimuuliza Mama yake mzazi na mke wangu anasema lile jina ni la mjomba wake yeye! Cha Ajabu kila nilipotaka kuliona kadi la Clinic nilikua napigishwa chenga!
Mnanishaurije wadau!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tangu lini mtoto wako akapewa jina la mjomba wa mke wako ?Mke wangu anadai anaujauzito wangu lakini kwenye kadi la clinic kaweka jina la mtu mwingine!
Ukimuuliza Mama yake mzazi na mke wangu anasema lile jina ni la mjomba wake yeye! Cha Ajabu kila nilipotaka kuliona kadi la Clinic nilikua napigishwa chenga!
Mnanishaurije wadau!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli ndoa zina changanoto, ila kwa hili mdau mwenyewe ni changanoto, hakuna ndoa hapo!
Mkeo kivipi hapoMke wangu anadai anaujauzito wangu lakini kwenye kadi la clinic kaweka jina la mtu mwingine!
Ukimuuliza Mama yake mzazi na mke wangu anasema lile jina ni la mjomba wake yeye! Cha Ajabu kila nilipotaka kuliona kadi la Clinic nilikua napigishwa chenga!
Mnanishaurije wadau!?
Sent using Jamii Forums mobile app
UsikubaliMke wangu anadai anaujauzito wangu lakini kwenye kadi la clinic kaweka jina la mtu mwingine!
Ukimuuliza Mama yake mzazi na mke wangu anasema lile jina ni la mjomba wake yeye! Cha Ajabu kila nilipotaka kuliona kadi la Clinic nilikua napigishwa chenga!
Mnanishaurije wadau!?
Sent using Jamii Forums mobile app
DuuuuhBado najiuliza, kati ya mwanaume mjinga alieoa, na mwanamke alieolewa na mwanaume mjinga ni nani mjinga zaidi?
Ulio au uliozeshwa?Mke wangu anadai anaujauzito wangu lakini kwenye kadi la clinic kaweka jina la mtu mwingine!