Mke wangu anadai ana ujauzito wangu lakini kwenye kadi la clinic kaweka jina la mtu mwingine!

Mke wangu anadai ana ujauzito wangu lakini kwenye kadi la clinic kaweka jina la mtu mwingine!

Ni mke wako kweli au mwanamke tu mlichukuana bar mkaanza kuishi wote?
 
Mke wako au kimada wako?

"corona ipo tuchukue tahadhari"
 
Wanaume wanazidi kupungua 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆
 
Yaani wewe ni bwege kiwango kikubwa, mpaka leo hujafanya maamuzi , wacha nipite kando
 
Itakua umerogwa Mkuu mwanaume anaejielewa angekuja kutoa uzi wa hatua alizochukua...[emoji848][emoji848]

kuna watu MNA huruma sana,[emoji3][emoji3][emoji3]

F@nn¥[emoji769]
 
Nunua magunia mawili ya mkaa kisha nipigie, hakikisha umenawa mikono kabla ya kunipigia..
 
Sioi ng’oo


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
we jamaa usikubali kupewa majibu mepesi kwa maswali magumu. Hakuna utani katika ndoa wa namna hiyo. Amkaa toka usingizini
 
Back
Top Bottom