MAGO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,278
- 3,023
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aghhh yaani vitoto vingine bana ngoja shule zifunguliwe tu kila kona tabuKwaiyo mkuu unataka tushauri nn hapa kama si kutukosea adabu wanaume hivi nyie wavulana mnamatatizo gani lkn! kwann mnakimbiliia kuoa huku akili hazijawakomaa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama wajinga wasingeenda sokoni bidhaa mbovu zisingeuzika.Bado najiuliza, kati ya mwanaume mjinga alieoa, na mwanamke alieolewa na mwanaume mjinga ni nani mjinga zaidi?
Mtoa mada hajaoaMimi mwenyewe nimeshangaa,halafu wanaeake wana huruma sana,unawezaje kuolewa na mtu dizaini ya mleta mada,no wonder hata kadi ya mtoto imeandikwa jina lingine.
Ni wake zetu sio wake zao, usiipatwe na mshangao nikikuambia hata mimi naijua mihemo yaoUngesema mke wetu, mke wako hawezi kufanya hivyo.
[emoji33][emoji23][emoji23][emoji23]Mpige risasi
Sent From Galaxy S9
Wamenifungulia mkuu[emoji16][emoji16][emoji16] Nipo hapaa jamaa analeta ujingaDuuh!! Mwamba umerudi? Lini?
Karibu sana.
Wamenifungulia mkuu[emoji16][emoji16][emoji16] Nipo hapaa jamaa analeta ujinga
Sent using Jamii Forums mobile app
Umemshauri kibabe Sana[emoji23]Watu wanapoteza muda wao kimshauri mpuuzi,ni bora ungesema hawala yangu,umeandika mke harafu unataka tukushauri,ushauri wa nini maana wewe ni bwege hadi mkeo kaona watoto wake hawafai kuitiwa jina lako ,maana nao watakuwa mabwege kama baba yao
Sent using Jamii Forums mobile app