Mke wangu anadai simridhishi kitandani

Muulize hivi:

Unataka nikufanyeje ili nikuridhishe
 
Assumption
1. Kuna mweñzako anapasha.
2. Mkeo anaangalia Porno
3. Story za marafiki.

N:B mkeo ni katoto ka 2000

Niambie umri wako nikushauri.
 
Huyo keshakutoa moyoni achana nae suala la mtoto atakua tu kibishi bishi. Ukiforce kwa huyo mwanamke atakuja kukufanyia kitu mbaya upotee kwenye uso wa dunia ili aridhishwe vizuri zaidi. Mtemee fasta
 
Nikupe kitabu chenye madini mkuu ?
 
Wanawake wa zama hizi hawaridhiki kwani kabla hujamuowa alikuwa anadungwa na wanaume tofauti kwa staili tofauti sasa ametulia na mmoja hakutani na uwezo tofauti ndiy maana hawaridhiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…