Mke wangu anadai simridhishi kitandani

Muulize anatakaje kwa maana yeye ndiye mlengwa anajua mapungufu yako na amefanya vizuri kukwambia
 
Brother hiyo rahisi sana.
Usimwache, ungemuuliza yeye huwa anafanya juhudi gani kuridhika?

Wanawake hizi mentality zakufanyiwa hadi kila kitu zitawagarimu.

Kama yeye hana juhudi za kukojoa atajua mwenyewe.

Hii kitu ni both side eti
 


Anamaanisha humpi ela za kutosha

Rekebisha mhamala wako

Mwanamke anaweza kuishi hata na mtu ambae hafanyi kabisa

Uza nyumba Linda ndoa 😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…