Mke wangu anadai simridhishi kitandani

Mke wangu anadai simridhishi kitandani

Mkuu this is serious ase! Shida yangu ni mtoto tu maana nmeshaona hakuna haja ya kukaa na mtu miaka mitatu hasemi shida yangu na kibaya zaidi aniambie tangu akutane na mimk kwa mara ya kwanza sikuwahi kumridhisha yaani directly anamaanisha sikuwahi kumkojoza inamaana kuna mtu ambae huwa anamridhisha.
Watu wamekwambia kwa staha kwavile humu hata watoto wamo watafute wakubwa huko mtaani wakujuze style, (mbinu), za kuchimba mgodi hadi aone kama siyo wakwake hadi asubuhi akiamka aimbe nyimbo ukiona mke haimbi nyimbo asubuhi ujue hujafanya kitu usiku šŸ˜†
 
Habarini?

Ni leo ya asubuhi kabisa akaniambia kuna kitu anataka kuniambia,nikamwambia "sema mke"

"Unajua tangu tujuane huu mwaka wa tatu hujawahi kuniridhisha?" Hili swali limenistua mpaka nikaanza kumuonea huruma mtoto wetu mwenye miezi minne tu.

Swali hili nimeliona ni zito mno kwangu kwasababu sidhani kama nitakuja kuwa na uwezo zaidi ya ninaouonesha tangu tulipojuana na mpaka sasa hivi.

Kutokana na swali hilo pia moja kwa moja nikaona huyu simfai na wala hanifai tena yaani hakuna anaemfaa mwenzake kwenye suala la kuridhishana kitandani na kumbe ni mimi tu ndyo nilikuwa najiridhisha.

Akili yangu inaniambia kwamba niachane nae tu lakini akili nyingine inaniuliza huyu mtoto ataishije bila baba?

Yaani kiufupi nmeanza kupitia wakati mgumu sana kwenye hii ndoa.

Naombeni ushauri wenu lakini usahuri ulenge hasa kwa maslahi ya mtoto tu!.

Ahsanteni
Usiachane nae mwanawane....wee mwambie tafuta ex wako ambaye alikuwa anakugegeda vizuri mwalike nyumbani mpige threesome wee uangalie ni namna gani jamaa anamridhisha mkeo.
Usilete ego bure...sio kila mtu anazaliwa anajua kugegeda wewe. Mie mwenye napenda mbususu lakini najua sijui kugegeda na wanawake wote niliowagegeda niliwachafua tuu
 
Hakuna kibuti mkuu,labda ndyo tuseme kama ameshapata mwingine huo ndyo uwe mlango wa kutokea lakini ni watu wawili tunaotegemeana sana na ndyo maana nmeshangaa kuskia maneno yale
 
Halafu humo ndani kuna nyama nyama zinazo washa washa,mke akisafisha mgodi anazigeuza direction ndiyo maana mdau ameshauri usimamie kama unavyo endesha baiskeli kwenye mlima, hahaha šŸ˜‚
Harafu uwe na kiuno laini unakuwa unamkoroga ndani mle ndo unasikia ulitaka kuniua mana sijui nilihisi Niko dunia ingine haya mambo hayaji bila juhudi binafsi
 
Dawa zipo. Ila pamoja na mbinu/dawa hizo, kumridhisha mwanamke ambaye ameshakutoa moyoni ni kazi sana.
Tatizo unamridhisha mtu kwa kutumia dawa inayodumu kwa muda halafu ukute ana mtu anaemridhisha na hatumii dawa aani always yuko fit,naona hilo litakuwa tatizo kwangu
 
Mkuu this is serious ase! Shida yangu ni mtoto tu maana nmeshaona hakuna haja ya kukaa na mtu miaka mitatu hasemi shida yangu na kibaya zaidi aniambie tangu akutane na mimk kwa mara ya kwanza sikuwahi kumridhisha yaani directly anamaanisha sikuwahi kumkojoza inamaana kuna mtu ambae huwa anamridhisha.
Sasa hilo tatizo si utalihamisha kwa mwingine na yeye hatakwambia kwa sababu anajua madhara yake..
Hakuna mwanamke asiyekojoa, jifunze tactics,
Mkeo ni genuine anataka huo utamu aupate kwenye ndoa sio nje, wengine ni wasiri anakaa kwenye ndo ahuku akijua raha ana pata kwa mchepuko wake.
 
Habarini?

Ni leo ya asubuhi kabisa akaniambia kuna kitu anataka kuniambia,nikamwambia "sema mke"

"Unajua tangu tujuane huu mwaka wa tatu hujawahi kuniridhisha?" Hili swali limenistua mpaka nikaanza kumuonea huruma mtoto wetu mwenye miezi minne tu.

Swali hili nimeliona ni zito mno kwangu kwasababu sidhani kama nitakuja kuwa na uwezo zaidi ya ninaouonesha tangu tulipojuana na mpaka sasa hivi.

Kutokana na swali hilo pia moja kwa moja nikaona huyu simfai na wala hanifai tena yaani hakuna anaemfaa mwenzake kwenye suala la kuridhishana kitandani na kumbe ni mimi tu ndyo nilikuwa najiridhisha.

Akili yangu inaniambia kwamba niachane nae tu lakini akili nyingine inaniuliza huyu mtoto ataishije bila baba?

Yaani kiufupi nmeanza kupitia wakati mgumu sana kwenye hii ndoa.

Naombeni ushauri wenu lakini usahuri ulenge hasa kwa maslahi ya mtoto tu!.

Ahsanteni
anakupenda sana na ndiyo maana yuko radhi hata kukushirikisha jambo hili muhimu sana la kuiimarisha ndoa, huyo usimwache tafadhali,

mwambie tu arekebishe aina ya misosi kule jikoni na wewe punguza mambo mengi kichwani kisha shiriki mazoezi ya mara kwa mara ya viungo kuiimarisha utimamu wa mwili wako na kuongeza stamina na uwezo wa kuperfom na kustahimili game ipasavyo..

Piga ndizi mbivu mbili kubwa za maana masaa ma2 kabla ya game na maji ya kunywa ya kutosha , nakuhakikishia utarperfom vyema sana hiyo game na ataridhika tu šŸ’
 
Back
Top Bottom