Mke wangu anadai simridhishi kitandani

Mke wangu anadai simridhishi kitandani

Habarini?

Ni leo ya asubuhi kabisa akaniambia kuna kitu anataka kuniambia,nikamwambia "sema mke"

"Unajua tangu tujuane huu mwaka wa tatu hujawahi kuniridhisha?" Hili swali limenistua mpaka nikaanza kumuonea huruma mtoto wetu mwenye miezi minne tu.

Swali hili nimeliona ni zito mno kwangu kwasababu sidhani kama nitakuja kuwa na uwezo zaidi ya ninaouonesha tangu tulipojuana na mpaka sasa hivi.

Kutokana na swali hilo pia moja kwa moja nikaona huyu simfai na wala hanifai tena yaani hakuna anaemfaa mwenzake kwenye suala la kuridhishana kitandani na kumbe ni mimi tu ndyo nilikuwa najiridhisha.

Akili yangu inaniambia kwamba niachane nae tu lakini akili nyingine inaniuliza huyu mtoto ataishije bila baba?

Yaani kiufupi nmeanza kupitia wakati mgumu sana kwenye hii ndoa.

Naombeni ushauri wenu lakini usahuri ulenge hasa kwa maslahi ya mtoto tu!.

Ahsanteni
Piga chini! au uwe mvumilivu kuchapiwa.
 
Bro kwa ufupi tu huyo hana hisia na wewe

Swala la kuridhika au kutosheka kingono ni mindset yako/yake jinsi ilivyo kwa wakati huo
Kama akilini mwako ukishaona huyu mwanamke hajui mapenzi hata siku moja hawezi kujua vivyo hivyo kwa mwanamke.

Kwa mfano angalia mwanamke mara nyingi akichepuka akili yake inakuwa inaamini yule wa nje ndo anajua kunyandua kuliko wa ndani lakini kwa mwanaume huyo huyo aloechitiwa akipiga manzi nje anapiga round za kutosha

So its about hisia na akili alovoiset tu wala hii isikuumize ila muulize tu yeye je anafanya jitihada gani ili kuridhika maana kuna wanawake wengine kwa wanaume wao akinyonywa tu ziwa anakojoa.
 
Habarini?

Ni leo ya asubuhi kabisa akaniambia kuna kitu anataka kuniambia,nikamwambia "sema mke"

"Unajua tangu tujuane huu mwaka wa tatu hujawahi kuniridhisha?" Hili swali limenistua mpaka nikaanza kumuonea huruma mtoto wetu mwenye miezi minne tu.

Swali hili nimeliona ni zito mno kwangu kwasababu sidhani kama nitakuja kuwa na uwezo zaidi ya ninaouonesha tangu tulipojuana na mpaka sasa hivi.

Kutokana na swali hilo pia moja kwa moja nikaona huyu simfai na wala hanifai tena yaani hakuna anaemfaa mwenzake kwenye suala la kuridhishana kitandani na kumbe ni mimi tu ndyo nilikuwa najiridhisha.

Akili yangu inaniambia kwamba niachane nae tu lakini akili nyingine inaniuliza huyu mtoto ataishije bila baba?

Yaani kiufupi nmeanza kupitia wakati mgumu sana kwenye hii ndoa.

Naombeni ushauri wenu lakini usahuri ulenge hasa kwa maslahi ya mtoto tu!.

Ahsanteni
Aisee hzi nguvu zakusema hivyo ametoa wapi?
 
Mpaka kagundua humridhishi inamaanisha kapata wa kukulinganisha na wewe.

Shukuru Mungu kakakwambia kweli. Kuna options mbili, kufanya jitihada umridhishe, hii si lazma kwa phyisical kitombo maana hapo ulipofikia ndio majaaliwa yako huna maajabu zaidi, nogesha na vi foreplay nakshi nakshi za kumfyonza na kumnyonya kimahaba sio kama muumiani mnyonya damu.

Option ya pili ni kumruhusu aende kiroho safi ukae ukijua mmeachana, maana huyo kama hafanyi tayari ni swala la muda atafanywa ili aridhike.

Kuna wakati ni heshima zaidi kukubali kushindwa kuliko kung'ang'ania usiyoyaweza kuishia kudhalilishwa.
🤣🤣🤣 muumiani mnyonya damu a.k.a dracula 😅
 
Km wewe unaridhika usimsikize akwendree.!!

Kila siku nasema suala la mwanamke kuridhika inategemea na mindset yake..!!
Akitaka kuridhika ataridhika tu labda km anakupa ujumbe kufikishwa kwa namna nyingine. ( Akifikia level hiyo achana naye MALAYA HUYO) 😂😂😂
 
Mkuu mambo ni mengi sana unajikuta umechoka na kuhisi umemaliza kila kitu lakini cha kushangaza miaka mitatu yote ndyo aje aniambie leo na ndyo nahisi kuna muhuni tayari
Basi jitahd umridhishe. Madhali kakwambia ndio anakutaka bado huyo na anataka kuridhishwa na wewe na sio mtu mwengine.
Note: Kumridhisha mwanamke ni kumkojoza na sio kusuguuuuuuwaaaaa weeeeee mpk pakatoka cheche za moto. Unaweza wewe ukaenda hata round 4 na mwanamke akawa hata hajafika mahali anaona unampa kero tu.
We hushangai kuna wanawake wana mahusiano na wanawake wenzao na wanadumu tu, unadhani wanatiana matango!? Issue ni foreplay, tafuta namna ya kumkojoza mpk a-vibrate au apoteze faham japo dakika 1. Na ikiwezekana akwambie hasa nini utapomfanyia ndio ataridhika.
 
Back
Top Bottom