Mke wangu anadai simridhishi kitandani

Mke wangu anadai simridhishi kitandani

Sio kitu tu. Nna experience ya kutosha. Tatizo wanaume zile zuga zetu za aaahhh ahhhhhh mnaona km kweliiii tumefikaaaaa. Kumbe zuga tu zile, kumsaidie mwaname amalize akuondolee kero.
Ni wachache sn wanaoweza kumaliza kwa pamoja...na ile ina raha yake sana.
Unajua wanawake tunahitaji affection sana, tofauti na wanaume, mwanamme anaweza akipata joto la uke kdg tu akakojoa na akawa kesharidhika.
Na ndio maana wanawake hatuishi kuumwa viuno, mikojo imetukwama mnashindwa kuikwamua
Sio wote wewe😜😜
 
Sasa kaa nae chini
Muongee nini anapenda nawe unapenda
Muyatende

Mujaribu mapya yapo mengi, ingia online muyasome. Videos za mafunzo zipo nyingi pia YouTube.

Maisha aendelee, Furahia amekuambia ukweli.

Hongera sana kuwa na mke mwema, usijisikie vibaya. Kubali kubadilika utamkuta ulikuwa haupati ile raha ya cloud 9.
 
Basi jitahd umridhishe. Madhali kakwambia ndio anakutaka bado huyo na anataka kuridhishwa na wewe na sio mtu mwengine.
Note: Kumridhisha mwanamke ni kumkojoza na sio kusuguuuuuuwaaaaa weeeeee mpk pakatoka cheche za moto. Unaweza wewe ukaenda hata round 4 na mwanamke akawa hata hajafika mahali anaona unampa kero tu.
We hushangai kuna wanawake wana mahusiano na wanawake wenzao na wanadumu tu, unadhani wanatiana matango!? Issue ni foreplay, tafuta namna ya kumkojoza mpk a-vibrate au apoteze faham japo dakika 1. Na ikiwezekana akwambie hasa nini utapomfanyia ndio ataridhika.
Wanawake hawajawahi kujua wanataka nini.
Ukifanya hizo foreplay unaitwa lamba lamba. Kuna mwenzenu niliona andiko lake akisema hio lamba lamba hataki ye anataka kupelekewa moto haswa.

Ukipeleka moto ipasavyo unasema hata uende round 4 huwezi mfikisha popote.

Mnatuchanganya sana kwa kweli.
 
Habarini?

Ni leo ya asubuhi kabisa akaniambia kuna kitu anataka kuniambia,nikamwambia "sema mke"

"Unajua tangu tujuane huu mwaka wa tatu hujawahi kuniridhisha?" Hili swali limenistua mpaka nikaanza kumuonea huruma mtoto wetu mwenye miezi minne tu.

Swali hili nimeliona ni zito mno kwangu kwasababu sidhani kama nitakuja kuwa na uwezo zaidi ya ninaouonesha tangu tulipojuana na mpaka sasa hivi.

Kutokana na swali hilo pia moja kwa moja nikaona huyu simfai na wala hanifai tena yaani hakuna anaemfaa mwenzake kwenye suala la kuridhishana kitandani na kumbe ni mimi tu ndyo nilikuwa najiridhisha.

Akili yangu inaniambia kwamba niachane nae tu lakini akili nyingine inaniuliza huyu mtoto ataishije bila baba?

Yaani kiufupi nmeanza kupitia wakati mgumu sana kwenye hii ndoa.

Naombeni ushauri wenu lakini usahuri ulenge hasa kwa maslahi ya mtoto tu!.

Ahsanteni
mwanaume wa kweli, unahakikisha unamkojoza kisha wewe ndo unamaliza. kwani wewe miaka yote hiyo hujui kama unamridhisha AU humrithishi? huo kwako ni udhaifu kutokujua hilo mapema
acha kupanic tafuta solution. Zipo
una umri gani?
 
{19694DD5-1F2B-47BD-A06A-91576151171D}.png
 
Mkuu pole Sana but take it as a lesson. Utofauti wa huyo shem na wengine ni kafunguka. Swala la kukojoa kwa ke ni mahaba kwa ujumla na sio penetration km wadau wengi wanavyosisitiza Hadi kushauri mcongo. Jua namna ya kuzitumia vema parts za mwili wake, kwa mtiririko mzuri na kwa muda wa kutosha. Most men ni wabinafsi ktk mahaba na bahati mbaya hua hawajui sayansi ya orgasm ya ke wakidhani idadi ya mabao ndio kuridhisha. Be ready to learn. Waweza hata kutumia mitandao mf. YouTube mcheki Alex Grendi, Helena Nista, Marni your personal wing girl Kevin Anthony & Celine Remy wanaweza kukusaidia sehem ya kuanzia, as long as ni mke wako huna budi kumridhisha.
 
Back
Top Bottom