Mke wangu anaishi maisha ya ki-tamthilia, yananitesa haswa

Hilo ndio TATIZO la kuoa mwanamke ambae kwao hakuna TV. Nawashauri vijana kuoa mwanamke ambae kwao Kuna tv.
Sasa kumbe tukitaka kuchumbia hadi tutembelee kwao na kuangalia kama kuna tv au tuwaulize πŸ˜„πŸ˜„?
 
How can we resolve it au ni ugonjwa usiyo wa kuambukiza na hauna tiba πŸ˜₯πŸ˜₯?
 
Mpe mimba akikaribia kujifungua safiri mwaka mzima , uwe unatuma hela ya matumizi usimwambie ni ya nini yeye atajua afanyaje mwenyewe.

Kama majukumu yanakubana kutokusafiri tafuta mchepuko ila tengeneza mazingira ahisi unachepuka kutokana na tabia zake ila hakikisha asikufumanie
 
Ma'ke hapa n'cheke kwanza πŸ˜‚πŸ˜‚

Ila make wa jamaa yako Ni kiboko Sana,kaamua kuiga kila kitu kwenye tamthilia za watu🀣🀣
 
Hakika nimependa huu ushauri wako mkuu.Ampe tu mimba huyo mkewe ndo labda ataacha kuiga iga vitu vya watu.
 
Kwangu nilikomesha huo ujinga kwa kutoa uchafu wa azam tv, sasa hivi ni mwaka na nusu wameshazoea, maisha na tamthilia havitangamani
 
Hizi stori zenu nyingine zinachekesha hadi ModeratorsπŸ˜‚
Mpaka mpiga ban ume-comment πŸ˜€πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΎπŸ‘πŸΎ

Jaman huyu ndo anawapigaga ban

πŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸ’¨
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…