Kozo Okamoto
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 3,391
- 1,545
saizi tena sio siri tumejua kuwa mke wake anatumia tigo
Mmh... Nnavyojua, hewa nzito haiwezi toka tu bila sababu!
Kuna baadhi ya vyakula kama ulaji wa maharage, chipsi yai sana, mayai kwa sana (ofcourse tunashauriwa tutumie yai moja tu kwa wiki! Mengineyo ni uchafu tu!)
kaka mshauri mkeo asiwe anakula kupita kiasi, hii inaweza sababisha tumbo kujaa gesi hivyo kupeleka hewa nzito kutoka tumboni na kuleta mtafaruku!
Kuwa wa kwanza kubadilika!!!

Kuvunjika kwa ndoa kunaanzia mbali sana mkuu. Tunashukuru kuna MMU JF tunaweza kusaidiana bila kufahamika na ukaokoa ndoa.
teh teh teh teh ila me m2 asokuwa msiri ktk mambo ya ndani simpendi kabisa ilo ni suala dogo sana mwenzio nlikutana na m2 domo linaongea ilo kila jambo linasimlia me yakanishnda taratiiibu nkajieka pembeni
Karaha ni mbaya sana haswa ikifanywa kwa makusudi, iwe kwa mke au mume.
Unaweza kupima lakini kama ni mgonjwa au mzima, maana mambo mengine yanayohusu maumbile yanakuwa ni ugonjwa na anashindwa kujizuia. Kama anafanya kusudi ni heri ukampa onyo kali kabla hujachukuwa hatua za kuachana.
Kama wewe hakusikilizi unapomuonya ongea na wazee wake kabla hujachukuwa hatua yoyote ya kuachana.
Ndugu wana MMU,
Nimeishi na mke wangu kwa muda wa miaka 2 na tuna mtoto mmoja. Kwa ufupi tunaelewana sana, tatizo kubwa ni tabia yake ya kujiachia(ushuzi) mbele yangu. Nimejaribu kumweleza kama sifurahishwi na anavyofanya aingie chooni lakini yeye anacheka na kunieleza anapumua.
Sasa nimeongea mpaka nimechoka, nimeamua kuacha tu.
Naomba ushauri wenu, je kujamba mbele ya mpenzi/mume/mke ni kupumua tu? Na je akijamba mgeni akiingia ndani(imewahi tokea) na kukutana na harufu atatuanaje?
Please help