Mke wangu anajamba sana usiku, nifanyeje?

Mke wangu anajamba sana usiku, nifanyeje?

Status
Not open for further replies.
saizi tena sio siri tumejua kuwa mke wake anatumia tigo

teh teh teh teh ila me m2 asokuwa msiri ktk mambo ya ndani simpendi kabisa ilo ni suala dogo sana mwenzio nlikutana na m2 domo linaongea ilo kila jambo linasimlia me yakanishnda taratiiibu nkajieka pembeni
 
Mmh... Nnavyojua, hewa nzito haiwezi toka tu bila sababu!

Kuna baadhi ya vyakula kama ulaji wa maharage, chipsi yai sana, mayai kwa sana (ofcourse tunashauriwa tutumie yai moja tu kwa wiki! Mengineyo ni uchafu tu!)

kaka mshauri mkeo asiwe anakula kupita kiasi, hii inaweza sababisha tumbo kujaa gesi hivyo kupeleka hewa nzito kutoka tumboni na kuleta mtafaruku!

Kuwa wa kwanza kubadilika!!!

Nimekuelewa mkuu
 
maisha yetu ya kiswahili yana tabu sana mkuu.sasa ndo ukute mtu keshajipigilia ugali njugumawe,mara magimbi mara maboga kwanini mtu asitoe gesi ka ya mtwara?
 
Kuvunjika kwa ndoa kunaanzia mbali sana mkuu. Tunashukuru kuna MMU JF tunaweza kusaidiana bila kufahamika na ukaokoa ndoa.

ila ni jambo dogo la kueleweshana taratbu afu naona c tatizo mkeo kakuzoea kias kwamba haoni faida ya usiri kati yenu ni jambo jema
 
teh teh teh teh ila me m2 asokuwa msiri ktk mambo ya ndani simpendi kabisa ilo ni suala dogo sana mwenzio nlikutana na m2 domo linaongea ilo kila jambo linasimlia me yakanishnda taratiiibu nkajieka pembeni

na wewe ulikuwa unapiga kitu cha gesi nini?
 
Karaha ni mbaya sana haswa ikifanywa kwa makusudi, iwe kwa mke au mume.

Unaweza kupima lakini kama ni mgonjwa au mzima, maana mambo mengine yanayohusu maumbile yanakuwa ni ugonjwa na anashindwa kujizuia. Kama anafanya kusudi ni heri ukampa onyo kali kabla hujachukuwa hatua za kuachana.

Kama wewe hakusikilizi unapomuonya ongea na wazee wake kabla hujachukuwa hatua yoyote ya kuachana.
 
Mijitu mingine bwana, sasa mkeo kujamba ni kosa? yaelekea haumpendi tena una kisasi naye ndiyo maana umesema umeamua kunyamaza tu kimya...hicho ni mkisasi tena kibaya sana ..kitawaporomoa kimaisha mkija kushtuka mna wajukuu.
 
images

Tumia Air freshner... zipo za vyumbani na zipo za kunywa akinyamba tuu!! hutoa haraufu ya mawardi !!
images
 
Halafu ulitakiwa kueleza na matatizo yako yanayomkera yeye, na siyo kuwa biased kwa kuleta hapa hadharani hali ya mkeo.
Kwa ufupi binadamu wote wana mambo fulanifulani yanayoboa, na huwa hayajulikani hadi ukae na mtu kwa kipindi kadha ndipo waweza kuyajua.

Mkuu, sote tunaona vioja vya ajabu tena kuliko hicho chako, lakini kwa sheria na taratibu za ndoa huwa hauwezi kutangaza maana kwa logic ndogo tu najijua hata mimi ninazo kero nyingi sana kwa mwenzi wangu.
 
Karaha ni mbaya sana haswa ikifanywa kwa makusudi, iwe kwa mke au mume.

Unaweza kupima lakini kama ni mgonjwa au mzima, maana mambo mengine yanayohusu maumbile yanakuwa ni ugonjwa na anashindwa kujizuia. Kama anafanya kusudi ni heri ukampa onyo kali kabla hujachukuwa hatua za kuachana.

Kama wewe hakusikilizi unapomuonya ongea na wazee wake kabla hujachukuwa hatua yoyote ya kuachana.

i guess u can't be serious
 
Ndugu wana MMU,
Nimeishi na mke wangu kwa muda wa miaka 2 na tuna mtoto mmoja. Kwa ufupi tunaelewana sana, tatizo kubwa ni tabia yake ya kujiachia(ushuzi) mbele yangu. Nimejaribu kumweleza kama sifurahishwi na anavyofanya aingie chooni lakini yeye anacheka na kunieleza anapumua.
Sasa nimeongea mpaka nimechoka, nimeamua kuacha tu.
Naomba ushauri wenu, je kujamba mbele ya mpenzi/mume/mke ni kupumua tu? Na je akijamba mgeni akiingia ndani(imewahi tokea) na kukutana na harufu atatuanaje?
Please help

mimi pia huwa najamba sana tukiwa wawili chumbani kwetu na mke wangu huwa ananivumilia ila natamani huyo mkeo angekuwa ndo wangu sipati picha humo chumbani kungenukiaje hahahahahaaaaaaaaaaaaa
 
Kwa kuwa umeshindwa kuibadili tabia yake then badili ya kwako.

Fanya hivi:

Record halafu Save hicho kijampo chake ukifanye ringtone na ukipigiwa simu chelewa kuipokea ukiwa nae,trust me;baada ya siku kadhaa atatafakari na kujiongeza, usiwe unakasirika maana kaona ndo njia ya kuteka attention yako!
 
Ndugu wana MMU,
Nimeishi na mke wangu kwa muda wa miaka 2 na tuna mtoto mmoja. Kwa ufupi tunaelewana sana, tatizo kubwa ni tabia yake ya kujiachia(ushuzi) mbele yangu. Nimejaribu kumweleza kama sifurahishwi na anavyofanya aingie chooni lakini yeye anacheka na kunieleza anapumua.
Sasa nimeongea mpaka nimechoka, nimeamua kuacha tu.
Naomba ushauri wenu, je kujamba mbele ya mpenzi/mume/mke ni kupumua tu? Na je akijamba mgeni akiingia ndani(imewahi tokea) na kukutana na harufu atatuanaje?
Please help

Haha daaah umenikumbusha mbali xana, yalinitokea.
 
hebu chunguza wa nday icje kuwa wenzio wanakula jicho akawa amelegea maana madem wa ck hizi jicho wanaona kuliwa ndogo fashion ahaaahaaa
 
wakati wa uchumba hii habari alikuwa nayo? isije ikawa umemuharibu weye...
 
Mkeo anakupenda na anajiachia sana mbele yako.Usimchukie mkuu be romantic mtanie utani wa kweli hata akicheka ila meseji delivered.Mfano unaweza kumwambia mke wangu we kiboko ilo shuzi kama bomu la mbagala wakija wageni hapa lazima wapoteane au iyo gesi mamii ya Mtwara cha mtoto siku nyengine utasababisha maafa.Usipanic ishi kwa akili na uyo bibie yeye akikujambia hivyo anaona raha dizaini kama anakutania vile so na wewe muingie kwa njia iyo iyo ya utani wa kweli huku ukimpa somo taratibu.Ataacha tu.
 
labda wewe ndiye uliye haribu valvu yake ya upepo...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom