mimitungi
JF-Expert Member
- May 14, 2013
- 738
- 261
Mkeo anakupenda na anajiachia sana mbele yako.Usimchukie mkuu be romantic mtanie utani wa kweli hata akicheka ila meseji delivered.Mfano unaweza kumwambia mke wangu we kiboko ilo shuzi kama bomu la mbagala wakija wageni hapa lazima wapoteane au iyo gesi mamii ya Mtwara cha mtoto siku nyengine utasababisha maafa.Usipanic ishi kwa akili na uyo bibie yeye akikujambia hivyo anaona raha dizaini kama anakutania vile so na wewe muingie kwa njia iyo iyo ya utani wa kweli huku ukimpa somo taratibu.Ataacha tu.
Mkuu, bila shaka we mwanapsycholia mzuri sana. Ushauri wako nimeufurahia sana. Thanks