Mke wangu anajamba sana usiku, nifanyeje?

Mke wangu anajamba sana usiku, nifanyeje?

Status
Not open for further replies.
Mkeo anakupenda na anajiachia sana mbele yako.Usimchukie mkuu be romantic mtanie utani wa kweli hata akicheka ila meseji delivered.Mfano unaweza kumwambia mke wangu we kiboko ilo shuzi kama bomu la mbagala wakija wageni hapa lazima wapoteane au iyo gesi mamii ya Mtwara cha mtoto siku nyengine utasababisha maafa.Usipanic ishi kwa akili na uyo bibie yeye akikujambia hivyo anaona raha dizaini kama anakutania vile so na wewe muingie kwa njia iyo iyo ya utani wa kweli huku ukimpa somo taratibu.Ataacha tu.

Mkuu, bila shaka we mwanapsycholia mzuri sana. Ushauri wako nimeufurahia sana. Thanks
 
Kweli wewe ni mimitungi, hizo ni siri za ndani,
Ulitakiwa uoongeee na mkeo ya kuwa hupendezwi na hiyo tabia na sio kutuambia sisi jukwaani hapa.

NB
Unataka tukushauri nini?? Umuache mkeo au??
 
Last edited by a moderator:
hahaa muwe mnakagua vizibo hivo kabla hamjawaowa wake zenu bana
 
Kweli wewe ni mimitungi, hizo ni siri za ndani,
Ulitakiwa uoongeee na mkeo ya kuwa hupendezwi na hiyo tabia na sio kutuambia sisi jukwaani hapa.

NB
Unataka tukushauri nini?? Umuache mkeo au??

Mkuu soma post yangu vizuri na uielewe kabla ya kupost.
 
Last edited by a moderator:
nafikiri mngemuona doctor, kama anajamba mpaka anashindwa kujizuia itakuwa ni serious problem. kwa sasa angalieni na aina ya vyakula mnavyokula. aache maharage kwa muda, yana gesi sana yale.
 
mimitungi , labda ni mtizamo tu (though I fully understand your frustrations!). Kuna mtu aliwahi kunitumia ujumbe huu (kama mzaha tu), lakini pengine unaweza kuonesha namna nyingine ya kulitizama tatizo lako!

"Ukiona umedumu na mwenzio kwa zaidi ya ya miaka miwili na kuendelea katika mapenzi na hajawahi kujamba mbele yako, achana nae 'fasta'. Kama anaficha kitu kidogo namna hiyo ni vingapi atakuwa ameshakuficha? Tafakari!"
 
Je huyo ni mkeo kweli unayempenda? Acha ujinga,je wewe ujambagi? Unataka avimbiwe kwa kukyogopa wewe? Na je unataka ajiachie kwa nani sasa? Mbona haukui? Hii si sehem ya kumshushia mkeo heshima,ungejiposti wewe mwenyewe,inaonekana haumpendi uyo mwanamke,mbona ni marashi kama uyatoayo wewe? Na je unajua madhara ya kutokujamba wewe? Au unamfungua buti ndo mana unamwona kinyaa baada ya kumwaribu? Kwa ushauri wa bure kama kweli unampenda mkeo,ebu jaribu kubana icho kijambo chako kwa siku ata mbili,kisitoke ata cha psiiiiiii,ndo utapata majibu ya kwa nini ajambe.

Mkuu, kila mtu anajamba ila ni kuangalia unajamba wapi na wakati gani bila kumkwaza mwenzako, kwa mfano; chukulia mnakula au mnasali, sijui kama hata wewe utamwelewa.
 
Ndugu wana MMU,
Nimeishi na mke wangu kwa muda wa miaka 2 na tuna mtoto mmoja. Kwa ufupi tunaelewana sana, tatizo kubwa ni tabia yake ya kujiachia(ushuzi) mbele yangu. Nimejaribu kumweleza kama sifurahishwi na anavyofanya aingie chooni lakini yeye anacheka na kunieleza anapumua.
Sasa nimeongea mpaka nimechoka, nimeamua kuacha tu.
Naomba ushauri wenu, je kujamba mbele ya mpenzi/mume/mke ni kupumua tu? Na je akijamba mgeni akiingia ndani(imewahi tokea) na kukutana na harufu atatuanaje?
Please help
mimitungi unaweza ukaona huko kujamba ndio kosa kubwa, ukashindwa hata kuona mazuri ya huyo mkeo. Lakini kuna watu wanatamani mke wao hata angekuwa anajamba hovyo tu, lakini wasiwe na tabia nyinginezo.
 
Last edited by a moderator:
Siku akijamba mko chumbani mchape vibao nadhani atajua unamaanisha kweli hupendi.nachukia sanah mtu kujamba mbele yangu
 
sio siri mi napenda nijambe nijiachie mwenyeweeee kwa raha zangu
 
na wewe ulikuwa unapiga kitu cha gesi nini?

apana me aikuwa ivo bana mambo ya kawaida 2 namna wapenz wanavyoish kila m2 kumsimlia cjui ushamba, cjui ulimbukeni, kaah! Ata mama mkwe kusimliwa 2navyoishi! Hahahahahaaaaa nimecheka sana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom